Joel Mwaka (born March 16, 1960) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Chilonwa in 2015.
Mwezi wa Saba mwaka 2020 ndani ya wiki moja nilimtumia mtaji wa sh 250/=Tsh nikasuka mkeka wa mechi 21
Total odds 69,000+
Possible won 36m
Kodi ya SERIKALI 7+m
Take home 28+m
Siku ya kwanza zilicheza game 8 icelands teams. Europa game moja ya Basel vs Frankfurt AKIWIN dk ya 92
Last games...
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara
Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance
Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa
Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma
Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari...
Wakuu hope kila mtu yupo katika hali njema na kwa wale wanaopitia kwenye matatizo ya kimaisha iwe maradhi au hali ngumu ya kiuchumi hope Mungu ataweka unafuu.
Mwaka 2020 ndio tunaelekea kuumaliza na kuukaribisha mwaka 2021.
thd hii tujadili kwa kila mmoja wetu ni jambo/mambo gani ambayo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limeripoti kutokea kwa makosa ya jinai 1,791 mpaka kufikia Desemba 2020 ikilinganishwa na makosa 2,189 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho mwaka jana.
Ripoti hiyo imetolewa leo Desemba 29, na Kamanda wa polisi mkoani humo, Wankyo Nyigesa alipokuwa akizungumza...
FANI ZENYE AJIRA KWA SASA NA MKWANJE MREFU
Na, Robert Heriel
Leo sina maneno mengi, watu wengi wamekuwa wakilalamika ajira hakuna, sijui maisha magumu, wengine imefikia hatua ya kujidhuru kwa kutumia madawa ya kulevya, pombe, kujiuza na kudanga kisa tuu hawana mbele wa nyuma, hawana lila wala...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.
Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.
Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.
Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;
1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
Mimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia mnyama simba sports. Member gn amekuvutia hapa jukwaa la michezo kwa mwaka huu 2020?
Habari wakuu? Ni mwisho wa mwaka. Tutafakari usomaji wetu wa mwaka huu. Vitabu vingi nimevijua kupitia michango ya members humu.
Mi nimesoma vitabu vichache tu, sikuwa na usomaji mzuri.
1. Screw business as usual cha Richard Branson.
Anaeleza jinsi biashara zinaweza kubadilika na kuweka...
wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020...
We taja tu hata kama....
We taja tu.....
...nimesema we taja tu...
Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie..
2020
Countin down
Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari(CPJ) imeripoti kuwa hadi kufikia Desemba 1, 2020 waandishi 274 walifungwa, idadi hiyo ikiwa kubwa kubwa kuliko ile iliyoripotiwa 2016 ambayo ilikuwa ni 272.
China inatajwa kuwa nchi inayokamata waandishi wa habari wengi zaidi, ikifuatiwa na Uturuki. Nchi...
Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha.
Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo...
Cheers!
Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kuendelea kuruhusu mpaka sasa pumzi ipite katika virija vya mwili huu.
Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka 2020 karibu tutiririke mambo mbali mbali na matukio muhimu yaliyotokea mwaka huu (2020) katika maeneo mbali mbali hapa nchini na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.