mwaka 2020

Joel Mwaka (born March 16, 1960) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Chilonwa in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwaka 2020 ulikuwa mtamu sana, sijui mwaka huu 2021

    Mwezi wa Saba mwaka 2020 ndani ya wiki moja nilimtumia mtaji wa sh 250/=Tsh nikasuka mkeka wa mechi 21 Total odds 69,000+ Possible won 36m Kodi ya SERIKALI 7+m Take home 28+m Siku ya kwanza zilicheza game 8 icelands teams. Europa game moja ya Basel vs Frankfurt AKIWIN dk ya 92 Last games...
  2. Mwaka 2020 niliikosa pisi executive kutokana na kigezo cha kupima HIV

    Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari...
  3. Mwaka 2020 ni jambo gani hutolisahau?

    Wakuu hope kila mtu yupo katika hali njema na kwa wale wanaopitia kwenye matatizo ya kimaisha iwe maradhi au hali ngumu ya kiuchumi hope Mungu ataweka unafuu. Mwaka 2020 ndio tunaelekea kuumaliza na kuukaribisha mwaka 2021. thd hii tujadili kwa kila mmoja wetu ni jambo/mambo gani ambayo...
  4. Polisi Pwani yatoa ripoti ya matukio ya uhalifu kwa mwaka 2020. Makosa ya jinai yaripotiwa kupungua

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limeripoti kutokea kwa makosa ya jinai 1,791 mpaka kufikia Desemba 2020 ikilinganishwa na makosa 2,189 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho mwaka jana. Ripoti hiyo imetolewa leo Desemba 29, na Kamanda wa polisi mkoani humo, Wankyo Nyigesa alipokuwa akizungumza...
  5. Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    FANI ZENYE AJIRA KWA SASA NA MKWANJE MREFU Na, Robert Heriel Leo sina maneno mengi, watu wengi wamekuwa wakilalamika ajira hakuna, sijui maisha magumu, wengine imefikia hatua ya kujidhuru kwa kutumia madawa ya kulevya, pombe, kujiuza na kudanga kisa tuu hawana mbele wa nyuma, hawana lila wala...
  6. Mafanikio yangu ya mwaka 2020 na mipango yangu ya 2021

    Tukutane December 2021..
  7. Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
  8. Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  9. Members walionegesha jukwaa la michezo mwaka 2020

    Mimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia mnyama simba sports. Member gn amekuvutia hapa jukwaa la michezo kwa mwaka huu 2020?
  10. Umesoma vitabu gani mwaka 2020?

    Habari wakuu? Ni mwisho wa mwaka. Tutafakari usomaji wetu wa mwaka huu. Vitabu vingi nimevijua kupitia michango ya members humu. Mi nimesoma vitabu vichache tu, sikuwa na usomaji mzuri. 1. Screw business as usual cha Richard Branson. Anaeleza jinsi biashara zinaweza kubadilika na kuweka...
  11. Wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020

    wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020... We taja tu hata kama.... We taja tu..... ...nimesema we taja tu... Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie.. 2020 Countin down
  12. CPJ: Mwaka 2020, waandishi 274 wamekamatwa kutokana na kazi zao ukiacha wale waliopotea

    Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari(CPJ) imeripoti kuwa hadi kufikia Desemba 1, 2020 waandishi 274 walifungwa, idadi hiyo ikiwa kubwa kubwa kuliko ile iliyoripotiwa 2016 ambayo ilikuwa ni 272. China inatajwa kuwa nchi inayokamata waandishi wa habari wengi zaidi, ikifuatiwa na Uturuki. Nchi...
  13. Deni la Kenya lakua kutoka KSH 1.8 Trillion kipindi cha Kibaki mpaka KSH 6.7 Trillion mwaka 2020

    Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha. Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo...
  14. Uzi maalamu wa matukio yaliyogonga vichwa vya habari mwaka 2020

    Cheers! Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kuendelea kuruhusu mpaka sasa pumzi ipite katika virija vya mwili huu. Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka 2020 karibu tutiririke mambo mbali mbali na matukio muhimu yaliyotokea mwaka huu (2020) katika maeneo mbali mbali hapa nchini na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…