mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

    Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa Siohaba kukuomba...
  2. Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  3. N

    Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora

    Habari Ndugu wa Jf, Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora Utangulizi Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
  4. Hii ndio misemo Bora iliyobamba zaidi kwa mwaka 2024, upi ulitembea nao sana?

    Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri Watoto wa 2000 Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi Kamdomo Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
  5. Jumapili njema ya mwisho wa mwaka

    Pole kwa kila gumu lililokusumbua mwaka huu; kama uliumwa, uliumia, uliumizwa, uliteseka, au ulitikiswa kivyovyote hisia zako na ukadhani usingetoboa kuiona leo...POLE MNO. Hongera kwa kutojikatia tamaa. Mbali na maumivu na changamoto zote, hujakufuru. Hujajisusa, hujajinyonga, hujajitosa...
  6. Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

    Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu? Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
  7. Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  8. Ripoti ACLED: Nchi 10 za Afrika zilizoongoza kwa Vurugu na Migogoro ya Kisiasa kwa mwaka 2024

    1. Nigeria 5 2. Sudan 8 3. Cameroon 9 4. DR Congo 13 5. Ethiopia 20 6. Somalia 21 7. Mali 22 8. Kenya 23 9. Sudan Kusini 24 10. Burkina Faso...
  9. T

    Uzoefu wa hekima 7 za uongozi mwaka 2024 na za kwenda nazo mwaka 2025

    Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi. Twende sasa moja kwa moja kwenye mada yetu ya niliyocopy and na kupaste. HEKIMA 7 ZA UONGOZI...
  10. Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

    Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali. Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako Ahsante
  11. Kama nisipo jifunza mwaka huu wa 2024 niwe mfano wa kenge asiye sikia hadi damu kumtoka

    Kwamba Mwanamke asipo kuwa mama yako kaa nae kwa tahadhari sana. Hana huruma na mwanaume yoyote isipokuwa baba yake na mtoto wake! 2024 nimefahamu hili kwa gharama kubwa sana.
  12. MWAKA UNAISHA HAKUNA ULICHOFOSI

    Bado siku chache tu kabla mwaka wa kufosi (2024) kuisha je, Kuna ulichofosi au ndo hayatuhusu🤔🤔?
  13. Ijumaa ya mwisho wa Mwaka 2024

    Wana Jamiiforums Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh? Tunapoelekea kuumaliza Mwaka huu wa 2024 na kuelekea Mwaka mwingine siku chache zijazo. Nina maneno machache ya kuwaambia Familia nzima ya Jamiiforums siku hii ya Leo ijumaa ambayo ni ijumaa ya mwisho kwa Mwaka huu. 1. "Mwaka...
  14. Vitu vya kuzalisha(Vyakula) kwa ajili ya Afcon mwaka 2027, nikujiandaa kuanzia sasa

    AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda. Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa. Sasa kwa muda ulio bakia kuna vitu vinaweza kuwa na demand kubwa sana kipindi cha AFCON ila ni vizuri...
  15. Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  16. L

    Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Habarini Wana JF napenda kutoka offer ya kufunga mwaka Naitoa kwenu Dualis kwa 13.8Million Gari nzuri sana Piga 0695022051
  17. Kuna shida yoyote kama efd machine haitumiki kila siku ikiwa TRA wamenikadilia kodi ya kulipa kwa mwaka?

    Ni January inakaribia ndyo nakumbuka kuna kitu kinaitwa efd machine na kutoa risiti kwakweli kwangu ni ngumu,syo makusudi bali ni kusahau tu. Sikumbuki huu mwaka unaenda kuisha nadhani nimeitumia kama miezi minne tu zikiisha rola ndo kabisa nasahau kila kitu. Lakini TRA wameniwekea makadilio...
  18. Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

    Habarini, International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya. Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit...
  19. Kwanini FAM alibadilisha Katiba ya Chama Mwaka 2006 ili atawale milele na Kuondoa ibara ya 6.3.2 (C)

    Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano. Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani.. Tujikumbushe Kidogo... Jumatatu, Juni...
  20. Kuelekea mwaka 2025, achana na ubahili achana na uchoyo, achana na roho mbaya

    Nataka niwasaidie wana-JF Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs . Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako, mfano unaona sehemu kuna nafasi ya Kazi usisite kumshtua MTU unayemjua akaenda Ku-cover hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…