mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  2. Mchochezi

    Disemba 19 kama leo mwaka fulani, Hayati Magufuli alilipa mishahara kwa watumishi wa umma

    Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika. Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri. Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  4. Kishimbe wa Kishimbe

    Picha ya kufungia mwaka!

    FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI ILIVYOPOKELEWA! 🤣 ... kwa wale nguli wa kusoma BODY LANGUAGE!
  5. LIKUD

    Je utabiri huu wa mwaka 2004, kuhusu Mazinge kuokoka unakaribia kutimia

    Mwaka 2004 kuna mtu mmoja ( Mkristu) aliniambia ameoteshwa kwamba Mazinge ameokoka. Amekuwa mchungaji mkubwa sana na kanisa kubwa sana Tanzania. I told him " Sundu Meru". ( Wajaluo wakina popoma wa Bunda vijijini wanajua nini maana ya " Sundu Meru") Huyu jamaa tulikuwa tunabishana sana...
  6. Nelson Kileo

    Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  7. Ojuolegbha

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  8. Nyumba Nafuuu

    Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
  9. A

    KERO Muhimbili (Upanga & Mloganzila) inakuwaje mnakosa chanjo ya Tetanus kwa zaidi ya mwaka sasa!?

    Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8 iliyopita baada ya mwanangu kung'atwa na mbwa, wakamchoma tu chanjo ya kichaa cha mbwa, chanjo ya...
  10. Mshana Jr

    Tuombeane tumalize mwaka salama

    Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.. Ukimaliza siku salama na kurudi kibandani kwako unamshukuru Mungu sana! Ukikaa mahali lazima kwanza uangalie kushoto kulia mbele nyuma na ilibidi juu chini kama kuna sura zisizo za kawaida ziko nawe sambamba! Ukipigiwa simu na namba ngeni ni shida pia...
  11. errymars

    Ademola Lookman Amestahili tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka kwenye Tuzo za CAF 2024?

    https://youtu.be/2nc32h40PQg
  12. Teko Modise

    Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za CAF kwa mwaka 2024 ni Usiku huu jijini Marakech, Morocco

    Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF ) Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu. Baadhi ya vipengele hivyo ni; Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume ) Golikipa bora wa mwaka Timu bora ya mwaka...
  13. Nyumba Nafuuu

    Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  14. Father of All

    Nawatakieni heri ya mwaka mpya wana JF wote na kuwaombea waliotangulia

    Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na...
  15. M

    Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu. Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
  16. Nrangoo

    Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  17. Magical power

    Anataka kuniacha kisa nanyoa mala mbili Kwa mwaka nywele za chini

    Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali...
  18. mdukuzi

    Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  19. Mindyou

    Samia atajwa na Forbes kama moja ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani kwenye mwaka 2024

    Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
  20. britanicca

    Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

    Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba? Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti? Britanicca
Back
Top Bottom