mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  2. Pre GE2025 Ni lini Freeman Mbowe alisema atagombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa mwaka 2024?

    Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo. Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo? Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
  3. Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

    Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia Mambo si mambo kuna...
  4. Kila mwaka ukiisha huwa unajiona ulikuwa mjinga kiasi gani?

    Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?
  5. Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha chaguzi huru na za haki nchini. == "Kuanzia 2015 hakuna ushindani, hawataki uchaguzi na ukweli wa...
  6. N

    Habari zilizotrend kwa mwaka 2024

    10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera 9.Kutekwa kwa Sativa 8. Msigwa kuhamia ccm 7. Makonda kurudi kwenye mfumo 6. Kifo cha mzee Mwinyi 5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo. 4. Kifo cha mzee Kibao 3. DP world kuanza operation Tanzania 2...
  7. X

    Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  8. B

    Ni wimbo Gani unaona kwako kwamba huu ndo umefungia mwaka 2024

    Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu, Mimi wangu ni huu👇
  9. Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  10. Yanga kupata hasara zaidi mwaka huu wa fedha

    1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia. 2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia. 3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia. 4. Kocha wa viungo aliyekuja...
  11. Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  12. Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!

    Wakuu, Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania waliofanya vizuri zaidi. Kwenye list yao, Spotify wametoa orodha ya wasanii, album na ngoma zilizofanya...
  13. N

    LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  14. TAMISEMI lini inaweka majina ya selected F1 mwaka 2025?

    Mkwe achia majina uchaguzi S/M umekwisha unakwama wapi Kama NECTA wao walifanya Yao mapema kupanga tu majina miezi? Na ole wako mkwe upange double standard Kama mwaka Jana. Alamsiki!!!
  15. Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  16. B

    Alliance One Tobacco yashinda tuzo za ATE za mwajiri bora wa mwaka

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania Limited(AOTTL) imeibuka mshindi wa jumla katika kuzalisha ajira nchini iliyotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania(ATE). Kampuni hiyo yenye kiwanda cha tumbaku mjini Morogoro ilikabidhiwa tuzo ya ushindi huo mwishoni mwa wiki mkoani...
  17. Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  18. Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  19. Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  20. Kangi Lugola akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kukilalamikia Kituo cha Polisi Gogoni mwaka 2019

    Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini; Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…