mwaka 2022

Blue Peter is a British children's television programme created by John Hunter Blair. The first programme was broadcast on 16 October 1958, and the series still airs as of 1 February 2022. It is the longest-running children's television programme in the world, and also one of the longest-running television programmes in the world. Blue Peter currently airs weekly on Fridays in the United Kingdom on CBBC, a digital television channel. The show is produced in a magazine format, often transmitting live, and features a combination of studio presentation, interviews and outside broadcasting items. There have been forty official presenters of Blue Peter.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    Cristiano Ronaldo aanza kutimiza ahadi aliyoweka mwaka 2022

    Cristiano Ronaldo moja ya wachezaji bora Duniani ameanza kutimiza Ahadi yake ambayo aliisema Mwaka 2022 mwez wa 4 baada ya kufunga Hat trik ya 60 ambapo ali tweet katika mtandao wa Twitter na kuandika "30 Hat-Tricks before 30 and 30 Hat-Tricks after 30.It's time to...
  2. BARD AI

    Wanafunzi 12,536 hawakufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022

    Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
  3. daizouh

    Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

    Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni 1. Toyota IST 2. NISSAN Dualis 3. Rumion 4. Forester 5. Harrier
  4. JanguKamaJangu

    Wajawazito 309, Watoto wachanga 1,200 wamefariki kwa Mwaka 2022

    Takwimu zinaonyesha kuwa kanda ya Mashariki Jumla ya akina mama wajawazito 309 na watoto wachanga 1,200 wamepoteza maisha katika kipindi cha mwaka 2022 Kanda ya Mashariki. Hayo yamebainishwa Januari 16, 2023 na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Zuwena Jiri wakati akifungua kikao kazi cha tathimini...
  5. BARD AI

    Kondomu milioni 111.9 zilisambazwa nchini mwaka 2022

    Ikiwa ni hatua ya kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema Serikali imesambaza kondomu milioni 111.934 nchini katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2022. Hayo ameyabainisha juzi Januari 13, 2023 kwenye kikao cha ndani...
  6. R

    Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  7. L

    Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

    Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA. Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili. Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato...
  8. Raphael Thedomiri

    Ripoti IMF: Mwaka 2023 utakuwa mgumu zaidi Kiuchumi kuliko 2022

    Kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia, 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa kiuchumi. Hii inatokana na vichocheo vikuu vya ukuaji wa uchumi kimataifa yaani Marekani, Ulaya na China, zinakabiliwa na kudhoofu amesema mkuu wa shirika la kimataifa la fedha (IMF) Jumapili. Mwaka mpya utakuwa mgumu zaidi...
  9. King Ngwaba

    Hiki ndiyo kikosi changu bora cha mwaka 2022

    Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden. Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022. Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui Mpira kwani hata Wachezaji wakubwa wa Barani Ulaya hawawezi kupingana na Kikosi hichi ambacho ndani...
  10. JanguKamaJangu

    Rukwa: RPC asema kuna kesi 88 za watu kutelekeza familia kwa mwaka 2022

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, ACP Theospita Mallya ameeleza kuwa katika kipindi cha Mwaka 2022 kulikuwa na makosa 88 yaliyoripotiwa kupitia Dawati la Jinsia ya watu kutelekeza familia na watoto Takwimu za mwaka 2021 zinaonesha mashtaka yalikuwa 87, hivyo kuna ongezeko na sababu kubwa...
  11. technically

    Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

    Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
  12. masopakyindi

    Tafakuri: Mwisho wa wiki, Mwisho wa mwaka 2022

    Kabla sijalala usiku huu nimeingiwa na tafakari nzito. Leo tayari ni 31st Dec 2022, siku ya mwisho wa mwaka 2022. Namshukuru Mungu kwa kunipa ingalau kuiona hii siku. Rafiki yangu, tena wa cheo cha juu, alifariki SIKU YA KRISMASI! Na tumempumzisha jana. Mimi nimempa nini Mungu? Ni rehema...
  13. Mwande na Mndewa

    Niliona kuminywa kwa Uhuru wa Maoni mwaka 2022

    Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi huruhusiwi kuwa na maoni tofauti,niliona kuminywa kwa Uhuru wa maoni.
  14. GENTAMYCINE

    Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

    UPUUZI #1. " Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga. UPUUZI #2...
  15. BARD AI

    Mwaka 2022 ulivyowanyima Usingizi Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Achana na watendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Eklimu ya Juu (HESLB), kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, mwaka 2022 unaweza kuwa mwaka uliokuwa na hekaheka nyingi zilizowatoa jasho watendaji wa bodi hiyo. Moja ya mambo ambayo yaliwapa wakati mgumu watendaji...
  16. BARD AI

    Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
  17. B

    Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  18. Mwande na Mndewa

    Jina la Magufuli limetajwa sana mwaka 2022

    Hayati Rais John Pombe Magufuli ndiye mtu aliyetajwa sana katika mwaka huu 2022,penye hoja na pasipokuwa na hoja,ndiye Rais pekee ambaye atazidi kuendelea kutajwa mara nyingi kwenye awamu hii na awamu zijazo na hata kwenye uchaguzi ujao,alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana wazalendo wa...
  19. Lycaon pictus

    Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  20. Chizi Maarifa

    Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

    1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja. 2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi...
Back
Top Bottom