mwaka 2023

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Waziri Makamba abainisha mafanikio ya Serikali kwa Mwaka 2023 kupitia Utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) ameainisha mafanikio yaliyopatikana kwa Taifa kutokana na utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje yenye msisitizo katika Diplomasia ya Uchumi kuwa ni pamoja na kuimarika kwa ushirikiano baina ya Tanzania na nchi...
  2. Da'Vinci

    Kwangu huu ndio wimbo bora wa mwaka 2023

    I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake kaua kinoma noma. Wimbo umekua national anthem ya dunia zima Beat kali flow za kibabe za Cole...
  3. Mfilisiti

    Huu mwaka 2023 nakubali nimekwama

    Wakuu natumai kila mtu Mungu wake anampigania kwa imani yake, niende kwenye mada. Huu mwaka pindi unaanza niliweka malengo, lakini ukweli nikuwa "unaweza ukafanya kila kitu kwa usahihi na bado ukafeli vile vile" Mwaka unaisha na mambo yamekwama, sometimes natamani ningekua kuna hela...
  4. K

    Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

    Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
  5. N

    Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  6. Christopher Wallace

    Kampuni zilizoleta mabasi mengi kwa mwaka 2023

    Wakurugenzi walioleta mabasi mengi zaidi mpaka sasa kwa mwaka 2023 1. Abood kaleta basi 36 2. Shabiby 30 3. BM 22 4. Kimbinyiko 10 5. Kisire Luxury 6 6. ?
  7. R

    Mwaka 2023 vimerekodiwa vitendo vingi zaidi vinavyozuia upatikanaji wa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuliko miaka 3 nyuma

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na Dunia katika kuadhimisha siku ya kukomesha na kuondosha kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya waandishi wa habari (International Day to End Impunity for Crimes Against Journalists). Kila mwaka siku hii imekuwa ikiadhimishwa kutokana na vitendo...
  8. R

    Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  9. T

    2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

    Habari wakuu. Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii...
  10. GENTAMYCINE

    Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

    Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana...
  11. OLS

    Kilimo chaongoza kuchangia pato la taifa kwa robo ya kwanza ya 2023

    Mchango wa Sekta Kuu kwa Ukuaji wa Pato la Taifa Tanzania Mwanzoni mwa 2023. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wachangiaji wakuu wa ukuaji wa Pato la Taifa la Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 walikuwa: 1. Kilimo: Sekta ya kilimo ilirekodi kiwango cha ukuaji cha...
  12. The Sheriff

    Ripoti: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri Zaidi Katika Juhudi za Kuziba pengo la Kijinsia Mwaka 2023

    Kufikia usawa wa kijinsia ni lengo muhimu katika maeneo yote duniani kutokana na athari zake chanya kwa jamii, uchumi, na maendeleo kwa ujumla. Usawa wa kijinsia unahusu kutoa fursa sawa na haki kwa watu wa jinsia zote, bila kujali jinsia yao, ili waweze kushiriki kikamilifu katika shughuli za...
  13. Pfizer

    Nyumba ya Wazanaki yanogesha maonesho ya 77 ya mwaka 2023

    Na. Sixmund J. Begashe Nyumba ya asili ya kabila la Wazanaki iliyojengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi yake ya Makumbusho ya Taifa, imekuwa kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam Maarufu kama Saba Saba. Makundi Makubwa ya wanaofika katika...
  14. The Boss

    Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi...
  15. J

    Wadau wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonesho ya mwaka 2023 ni ya kipekee

    WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
  16. GENTAMYCINE

    Mumeo alikufa kwa Ngoma mwaka 1993, leo mwaka 2023 Wewe Mkewe unataka Kukikwepa Kifo cha Maambukizo hayo?

    Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Damas Ndumbaro awasilisha marekebisho ya Sheria Mwaka 2023 na Urekebu wa Sheria wa Mwaka 2023

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMABRO AONGOZA TIMU YA WATALAAMU KUWASILISHA MAREKEBISHO YA SHERIA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameongoza Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Katiba na Shera, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Wizara...
  18. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  19. Stephano Mgendanyi

    Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023, Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze imezinduliwa bila kipingamizi chochote na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa

    CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?. Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani. Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze...
  20. Mufti kuku The Infinity

    Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) na taasisi nyingine za utafiti, idadi ya Waislamu duniani inakadiriwa kufikia zaidi ya bilioni 2. Kwa sababu ya kiwango cha juu cha uzazi na kasi ya kuenea kwa dini hiyo kwenye maeneo mengi duniani, inatarajiwa kuwa...
Back
Top Bottom