===
Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022,
CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia...
Takriban watu 12 wamefariki dunia na wengine wapato 13 kujeruhiwa mapema leo kufuatia mkanyagano katika jumba la kidini la Mata Vaishno Devi huko Kashmir ambalo hutembelewa na maelfu kila siku kwa ajili ya maombi.
Ripoti za awali zinaeleza kuwa mkanyagano huo ulitokana na idadi kubwa ya watu...
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.