mwakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Pancho

    Kuanzia mwakani Simba itakuwa haina tofauti na Ihefu

    Wandugu, Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano? Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
  2. Bundakwetu

    Mungu nisaidie mwakani ninunue bajaji ya abiria

    Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji. Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu, eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
  3. OKW BOBAN SUNZU

    CCM 2013: Umeme kuuzwa nchi za nje mwakani

    Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
  4. maroon7

    Sio sawa watoto kumaliza mtihani wa taifa kisha kuendelea na masomo ya mwakani

    Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni. Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu. Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
  5. Lycaon pictus

    Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

    Bwana Freeman Mbowe alitangaza kuwa ataachia uenyekiti wa chama baada ya kukitumikia kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi. Unafikiri ni nani anastahili kumpokea kijiti huyu mwamba?
  6. Natafuta Ajira

    Naiona Super Cup ya Yanga vs Mamelod Sundowns hapo mwakani

    Kwanza kabisa kama ikiwapendeza FIFA kwa mwaka huu World Cup isifanyike maana wananchi washamaliza burudani yote. Hivi tutarajie kuona nini kingine kutoka kwa kina Messi, Neymar, Mane, De Bruyne ambacho hatukukiona jana pale Tunisia? Nitajie kimoja tu? Twende kwenye mada husika. Nimeangalia...
  7. T

    USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  8. Replica

    Mabasi 750 ya mwendokasi kuanza kazi Mbagala Machi mwakani

    Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria...
  9. Sildenafil Citrate

    Ujenzi Bandari ya Bagamoyo kuanza mwakani

    Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha 2023/24, ikiwa itafikia makubaliano na wawekezaji kuanza kazi kabla ya muda huo. Wazo la ujenzi wa bandari wa Bagamoyo lilianza wakati wa Serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete. Hata hivyo, Serikali ya...
  10. N

    Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

    Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana. Aiseee, eiiish ...
  11. B

    Kuna dalili Simba mwakani pakavu

    Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu. Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri...
  12. GENTAMYCINE

    Acheni kutupotezea muda na wenye kujua nini kinaendelea ndani ya Simba SC tunajua kuwa hata mwakani Timu itafanya vibaya tu

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu. Chanzo: Darmpya Blog Huu Msamaha wenu utapokelewa na wana Simba SC wa hovyo, ila kwa wengine tunaona mnazidi...
  13. Ileje

    Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023 Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

    Kwema Wakuu! Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa. Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii naam kuikomboa nchi hii pale walipoishia wakombozi wengine. Nitafanya Siasa za kubadilisha fikra za...
  15. GENTAMYCINE

    Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

    Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
  16. Riz king

    Hivi mwakani kuna lolote

    Hizi ajira za afya zitakuwepo mwakani kweli kwa wale wajuzi wa mambo maana daah miaka 5 clinical officer naishia kujitolea tu
  17. Ferruccio Lamborghini

    Natafuta Mwalimu wa kumfundisha Mwanangu anayetarajia kuingia darasa la tano mwakani

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani anatarajia kuendelea darada la tano maana amemaliza kufanya Necta juzi tu hapa. Kwa sasa dogo yupo tu...
  18. benzemah

    Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  19. Utopologist

    Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  20. Wakusoma 12

    Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

    Huu ni ushauri tu, Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
Back
Top Bottom