Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo?
Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa
Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika.
Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai
Msondo
Sikinde
Maquiz
Ramadhani Lemmy Ongala...
MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA.
Leo 10:35hrs 17/11/2021
Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye...
Simon Mulungo anayeiwakilisha Tume ya Umoja Afrika nchini #Somalia amepewa siku saba awe ameondoka nchini humo
Simon amelaumiwa kujihusisha na vitendo ambavyo haviendani na Mipango ya Kiusalama ya Somalia
Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia imetoa tamko hilo Novemba 4, 2021
====...
Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake.
ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.