Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho kilichoongozwa chini ya misingi ya katiba ya chama, Halmashauri Kuu imechukua hatua ya kumtengua rasmi...