Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe Spunda, ametangaza maamuzi ya Halmashauri Kuu ya chama hicho iliyoketi Juni 30, 2026, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho kilichoongozwa chini ya misingi ya katiba ya chama, Halmashauri Kuu imechukua hatua ya kumtengua rasmi Katibu Mkuu wa chama, Salum Mwalimu Juma, kuanzia tarehe hiyo ya kikao.
Soma: Salum Mwalimu ajiuzulu kwa muda CHAUMMA kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili
Maamuzi hayo yamekuja baada ya kutathmini mwenendo mzima wa uongozi ndani ya chama huku Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ikimemteua Benson Kigaila kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho.