Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake
Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 16,2022 ikiwa ni siku mbili tu tangu mwalimu...
Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika.
Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
Profesa Penina Mlama Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu anazungumza
“Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ujenzi wa taifa ni kujenga tabia za Wananchi, mitazamo ya kuweza kuishi pamoja.
“Kila taifa lina mitazamo yake ili watu waweze kuishi...
Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku.
Mimi ni mwalimu kwa taaluma ,nimesoma Bachelor of science with Education (Bsc EDUCATION) Na nimehitimu mwaka 2017.
Nina uzoefu wa kufundisha Chemistry na Biology Kwa miaka mitano(5) Kwa NGAZI zote yaan A-Level na O- Level. Napatikana kitunda...
1.Anahitajika mwalimu anayeweza kufundisha o level Chemistry na Mathematics
2.Starting salary 400,000/= wakati wa probation ya miezi mitatu
3.Shule iko kibaha
4.Nitumie Cv yako inbox
Salaam Wakuu,
Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila hatua hazichukuliwi pamoja na ushahidi.
Natumia nafasi hii kumuomba waziri wetu msikivu Prof. Mkenda...
Wanabodi,
Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma.
Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF.
Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka...
Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwalimu Mstaafu wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha Mjini Kati Ndugu John Lusungu Nusurupia Myavilwa.
Atakumbukwa kwa kazi ya kutunga na kufundisha nyimbo za Injili Kwaya mbalimbali nchini ikiwemo Kwaya ya Vijana Makorora Tanga miaka ya 1970+...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo.
Taarifa za Jeshi hilo...
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde
Nipo serious
Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa...
MWALIMU KIHERE APEWA MTAA SAHARE TANGA
Tanga imemtunuku Mwalimu Kihere Mtaa kwa kutambua mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Siku moja katika miaka ya mwanzo sana baada ya uhuru ikatokea Mwalimu Kihere, Dossa Aziz, Abdul Sykes na Julius Nyerere walikuwa wako pamoja wakawa...
Ndugu zangu zilikuwa ni ndoto za baba wa Taifa kuijenga Tanzania yenye usawa na haki kwa watu wote, Tanzania ambayo kila mtu alikuwa ana nafas sawa katika kuijenga na kunufaika na matunda yake, Tanzania iliyokuwa inaheshimika na mataifa yote bila kujali uchumi wetu.
Katika kuifikia azima hiyo...
Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo .
Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure.
Waziri amesema hayo katika ziara ya Rais Samia Mkoani Njombe ambapo amesema siku ya Jumamosi, Agost 13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.