Askofu Mwamakula, ni vizuri kujua kuhusu kanisa lako, wachungaji, na waumini wako.
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu kanisa lako.
Kanisa Lako Liko Wapi?
Ni muhimu kujua eneo la kanisa lako. Je, liko katika jiji, kijiji, au eneo maalum? Mahali...
Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.
Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya...
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena.
Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje...
“Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta Maisha, wamekatishwa na kifusi kama Watanzania ni janga la kitaifa.”
“Lakini iweje mtu...
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo...
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
Ndugu Watanzania!
Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
ASKOFU ATAJA USHAHIDI WA KI-BIBLIA WA KWANINI WAKRISTO HUABUDU JUMAPILI!
Kwa mujibu wa Biblia, siku ya saba ya juma ni Jumamosi, siku ya kwanza ya juma ni Jumapili. Tangu mwanzo, Wayahudi walikuwa na dini yao (Judaism) ambayo hadi leo ipo na ndio dini kuu nchini Israel. Dini nyingine katika...
Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika.
Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
Wakuu kwema?
Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs, inajidhihirisha kwa vitendo. Mbalina Padri Kitima, Askofu Emmaus
Mwamakula, ameelezea mageuzi ya Miswada ya...
Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa.
Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi.
Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...