Nimefatilia maandiko mengi ya Askofu Mwamakula kuhusu Rais Magufuli. Nimependa kumwambia ameibuka kuwa mtaabishaji wa nchi hii na kwasababu analitaja Jina la Jehovah basi Mkonoa wa Jehovah utaamua kati yake na Rais Magufuli.
Nimkumbushe tu! Vita anayifanya na Rais Magufuli anafanya vita na...
MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA!
Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga mkono kampeni za "Matembezi ya Hiyari" ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, watu mbalimbali...
Mkristo unamwambia Askofu Mwamakula kuwa asichanganye dini na siasa?! Hujui kuwa kesi ya Yesu ilikuwa ni ya kisiasa? Hujui kuwa kesi ya Mtume Paulo ilikuwa ni ya kisiasa? Hivi haujui kabisa kuwa hata aliyeuzika mwili wa Yesu alikuwa ni Mwanasiasa? Hivi haujui kuwa Injili ya Luka na Kitabu cha...
ASKOFU MWAMAKULA KUFANYA MIKUTANO JIJINI DAR ES SALAAM KABLA YA KWENDA MIKOANI!
Ndugu Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa!
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kuwa adhma yangu ya kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima kwa lengo kuhamasisha umma kuhusu umuhimu na uhitaji wa Katiba...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na ndani .
Lengo la barua hiyo ni kutambua mchango wa Askofu Mwamakula katika kupigania Katiba mpya na...
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula amesema anatafakari na kuweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha atautangaza kwa Watanzania.
Februari 15, 2021. Mwamakula alikamatwa na polisi kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya kudai tume huru na Katiba Mpya kwa njia ya mtandao...
Na baba Askofu Stephen Munga
JE, ASKOFU MWAMAKULA NI MFIA IMANI NA SHUJAA?!
Kwa muda sasa tulikuwa tukimsikia Baba Askofu Emmaus Mwamakula akiandaa matembezi ya hiari kwa ajili ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Haya ni matakwa ya watu wengi kulingana na maoni yaliyomo katika...
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
Watanzania wanahitaji katiba mpya maana wanajua fika mwarobaini wa matatizo yao.
Katiba mpya ndio itayokata mzizi wa fitina wa kila shida inayowakabili Watanzania.
Mfano tunataka Katiba ambayo itaruhusu kila mtanzania kuwa na mamlaka ya kusimamia haki za binadamu wenzake,mathalani mtu akiuliwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuachia kwa dhamana Askofu Emmaus Mwamakula wa kanisa la Uamsho la Moravian baada ya kufanya upekuzi nyumbani kwake.
Taarifa za kushikiliwa Mwamakula zilitolewa na polisi jana Jumatatu Februari 15, 2021 kupitia mtandao wa kijamiii kabla ya...
Taifa zima lipaze sauti mpaka wanaofanya uonevu waone aibu.
Kuanzia Masheikh, Maaskofu na Wachungaji, Wafugaji na Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi. Kesho kwa pamoja tupaze sauti kubwa Mtanzania mwenzetu mpenda haki aachiwe tena akiwa mzima wa afya.
Kuandaa maandamano ya hiari kudai...
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.