Akichangia ktk topic iliowekwa ktk mtandao wa X na mwanaharakati na rafiki wa karibu wa Tundu Lissu bibi Maria Sarungi, Rais wa TLS ameandika kwamba kuna watu wamesambaa ktk mitandao ya kijamii kwa lengo la kumchafua.
Hii imekuja baada bi Maria kuweka post inayompongeza Rais huyo ya kwamba...
Ndiyo yule aliesema jua mvua Tanzania TLS Itapigania katiba mpya?
Ndiyo yule yule aliesema atainyoesha serakali nini TLS Tanzania hii?
Au huyu anaepiga madogo vyama vya upinzani kupitia account yake X
Ni yupi hasa?
Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Hamza kama atafaa pale!
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda...
Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH!.
Pia utaweza kupata the way out on a number of issues that need your attention as President of...
UKIISHI MUDA MREFU UNAWAONA MWAMBUKUSI WENGI…
Wanyambo wenye hekima husema, “Bora uporwe mali kuliko kuzeeka, kwa sababu ukiporwa mali, marafiki zako wanaweza kukuchangia ukawa na mali tena”.
Mimi sasa ni mzee na nimewahi kuona “Vi-Mwambukusi” na “Ma-Mwambukusi wengi”. Nitaje?
1. Nilimwona...
boniface mwabukusi
chadema
hongera
matokeo urais tls
mwabukusi ashinda urais tls
mwambukusi
tangayika law society
uchaguzi tls
uchaguzi wa rais tls
uchaguzi wa tls
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea.
Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama...
Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi, Dr Slaa, Mdude, Chadema na TEC!
Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na sote sasa tumeanza kuwa na utulivu na sote tuna tafakari!
Sote kuanzia wafanyakazi wa bandari na...
Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Asalam,
Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani.
1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia.
2. Mahala ninapishi network yake iko...
NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa...
Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...