Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
"Hili tukio la mdude na kitima ndio la mwisho, hatuendi kuzungumza tena, 'take it from me' hatuwezi kukaa hapa kwa hofu tunaogopa watu, hili taifa ni letu, kwanini hatulindwi? Hao watekaji ni kina nani ambao wanateka kila mtu? subirini vitendo 'it will never happen again'.
Sisi tunachosema leo tunamtaka mdude akiwa mzima, tunafahamu mdude amechukuliwa nyumbani kwake na wanaomchukua miaka yote, sasa tunasema hivi wamrudishe"
Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi alipozungumza na waandishi wa habari Mei 08, 2025 kuhusiana na sakata la Mdude pamoja na Padri Charles Kitima.
Post in thread 'Wakili Mwambukusi atilia mkazo suala la kupotea kwa Mdude Nyangali mwanachama wa CHADEMA'
Wakili Mwambukusi atilia mkazo suala la kupotea kwa Mdude Nyangali mwanachama wa CHADEMA