Hiv kule nchi ya pili vip kuna watu kutekwa?Madhara ya kutawaliwa na raia kutoka nchi ya kigeni..Hana uchungu hata kdg.
Hiv kule nchi ya pili vip kuna watu kutekwa?Madhara ya kutawaliwa na raia kutoka nchi ya kigeni..Hana uchungu hata kdg.
Tena ni UJINGA mkuu, wanyama ndio wanaotakiwa kushambulianaBahati nzuri huyo Kamanda alikuwa anawafahamu wabaya wake tangu hapo! Kwa hiyo wamrudishe tu akiwa hai. Kumuua binadamu mwenzako kwa sababu tu ya nguvu yako ya madaraka, ni upumbavu, lakini pia ni ukatili wa kiwango cha juu sana.
Bahati nzuri huyo Kamanda alikuwa anawafahamu wabaya wake tangu hapo! Kwa hiyo wamrudishe tu akiwa hai. Kumuua binadamu mwenzako kwa sababu tu ya nguvu yako ya madaraka, ni upumbavu, lakini pia ni ukatili wa kiwango cha juu sana.
Kama kweli unaishi kwa kuua watu, Utastaafu halafu utakumbuka sehemu ya mafanikio yanatokana na damu za watu.Yaani ni kafara tupu. sauti za hao watu hazitaisha kusikika kwenye maaikio yq wauaji mpaka kufa kwao