Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM
Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu.
Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea.
Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu
TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya...
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi...
Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana.
Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
1. Hupenda Kukinga Kote Kote (Kwetu na Kwao)
2. Hupenda mno Kulazimisha 'Derby' iwe na ama Sare (ya Magoli) au Suluhu (bila ya Magoli)
3. Huwa ni Muoga na ana Maamuzi ya Kujishtukia na Kutotaka lawama kwa Kote ambako amekinga
Na najua Mechi ya Kesho kwa tabia zake tajwa hapa juu iwe isiwe...
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada
Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la!
Pili....Teknolojia sahihi ya kuamua kama mpira umevuka mstari wa goal Inaitwa goal line decision...
1. Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia.
2. Mitandaoni wanayanga wanalalamika kuhusu R.G. ga kupewa mechi ya kesho kwa sababu wanadhani au wana amini R.G.ga ni mnazi wa Simba.
3. Sikubaliani na wananchi wenzangu. Awali ya yote hakuna anae jua R.G.ga ni shabiki wa timu gani zaidi yake yeye...
Mwanamama Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya Derby ya leo Mkwakwani, Tanga, akisaidiana na Mohammed Mkono-Tanga na Hamza Hamdani wa Mtwara.
Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar
Refa Kipunje akiwa kazini
Summary
Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha. Sahau hilo la Webb. Tanzania kuna mtu mmoja anaitwa Kipunje.
UKIMUULIZA shabiki yeyote wa soka...
Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega.
Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno kwa Upendo walionao kwa Ndugu yao Christiano Ronaldo Wanamchukia Mchezaji Lionel Messi halafu leo...
Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu?
Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa naunga mkono mstumizi ya VAR ingawa kuna watu wanapinga halafu watu hao hao wanalalamika maamuzi mabovu...
Shirikisho la Soka (FA) limempa adhabu hiyo Meneja wa Liverpool kwa kosa la kugombana na mwamuzi msaidizi kwenye mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Manchester City.
Klopp, alioneshwa kadi nyekundu kwa kujibizana na Mwamuzi baada ya Mohamed Salah kunyimwa mpira wa adhabu kwenye mechi iliyochezwa Oktoba...
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi.
Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na...
Jumapili hii, msimu wa EPL utakuwa unaenda ukingoni. Bingwa wa EPL atajulikana siku hiyo, vita ya top 4 kati ya Spurs na Arsenal itajulikana siku hiyo lakini pia vita ya kushuka daraja itajulikana siku hiyo kati ya Burnley na Leeds nani ataungana na timu nyingine mbili kushuka daraja.
Msimu wa...
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa!
TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani.
Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
Je,
1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana?
2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu?
3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.