Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale.
Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba.
Hii imejidhihirisha kwa vitendo...
Duh kwa kweli aiseee jamaa full time unaambiwa walikuwa wanabonga kiarabu na huyo mmisri awapendelee wanajua wakiongea Kifaransa wa Niger watawasikia inanikumbusha yule aliyemtukana kanoute tusi zito kwa mama yake kwa kiarabu kumbe dogo anakijua akamla mtama wa nguvu.
Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi.
Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
Mwamuzi Nassir Salim wa Zanzibar aliyechezesha fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC na Simba SC hakuwa na ufahamu kuhusu sheria ya mchezaji kurudisha mpira kwa golikipa wake. Mwamuzi huyu alikuwa anajua kwamba mpira wowote uakaorudishwa na mchezaji kwa golikipa wake ni faulo. Alifanya...
Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC.
Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.