Mwanafunzi Mhoja Maduhu anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mwalimu kupita kiasi na kusababisha damu kuvujia kwenye ubongo, amezikwa huku huzuni na simanzi kubwa vikitawala.
Pia soma ~ Simiyu: Mwanafunzi adaiwa kufariki kwa kuchapwa viboko na kukanyagwa kichwani na mwalimu shuleni
Mwanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Mwasamba iliyoko Kata ya Lutubiga, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Mhoja Maduhu (15) amefariki Dunia, huku chanzo cha kifo chake kikidaiwa kuwa ni adhabu kali aliyopewa na Mwalimu katika shule hiyo kwa kuchapwa fimbo 10 sehemu tofauti za mwili ikiwemo...
Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk
Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule
Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka
Akamwomba...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.
Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule...
Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake
Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
Amani iwe kwenu wapendwa!
Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo bahati aliacha kuendelea na wito wa upadre na hivyo aliamua kuwa mlei (mwanandoa).
Sasa juzi hiyo...
Kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake imeshindwa kuendelea ikidaiwa shahidi upande wa Jamhuri ambaye alitakiwa kutoa ushahidi hakufika...
Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu
Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli.
Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake.
WENGI Huwadharau Waalimu huona hawana thamani hapa duniani. Wala hawafai kusikilizwa
Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025.
Kesi hiyo...
Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Ili jambo liwe kosa kisheria ni lazima kuwe na sheria inayopiga marufuku kutenda...
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa...
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru.
Mara ya mwisho kesi...
Habari wanajamii forums wote.
Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu.
Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
Hamza Salum ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya amebuni mfumo wa kulinda mitihani ambao unatajwa kuleta tija katika kukabiliana na wizi na uvujishaji wa mitihani nchini.
Chanzo: Azam TV
Mtuhumiwa
Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) umesema kuwa unatarajia kuwa na...
Mahakama ya wilaya ya Kilombero imemhukumu Yegela Juma Mfula (22) mkulima, mkazi wa Lungongole kifungo cha miaka 30 Jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la 7 (jina limehifadhiwa) wa shule ya msingi Lungongole, kata ya Kibaoni wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.
Akitoa hukumu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.