mwanafunzi

  1. Suley2019

    Ruvuma: Mwanafunzi wa Darasa la 6 afariki katika harakati za kutoa mimba

    Mwanafunzi Monica Ponera wa darasa la 6 Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, amefariki baada ya kufanyika kwa jaribio la kutoa mimba ya Mapacha wawili kwa njia ya kienyeji, inadaiwa Mwanafunzi huyo alipelekwa kwa Mganga wa Jadi na Wazazi wake ili kutoa mimba. (Picha...
  2. YEHODAYA

    Serikali itoe tamko kuwa mwanafunzi akikutwa na simu anafukuzwa shule

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikifanya vibaya matokeo ya mitihani ya secondary.Moja ya sababu ni kiwango cha chini mno cha kupitiliza cha nidhamu ya wanafunzi shuleni na nje ya shule na tatizo la umiliki wa simu,radio na TV mabwenini. Mashule mengi serious ya private yanayofaulisha sana...
  3. N

    Nimeombwa hela na mwanafunzi

    Habarini. Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi. Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi, 35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia. Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi...
  4. Kassimu Mchuchuri

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  5. Boflo

    Mwanafunzi wa UDSM ajinyonga Manzese!

    By Elisha Magolanga A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told The Citizen yesterday that Joseph Lugemalila, 21, killed himself at...
  6. S

    UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

    UDSM student hangs himself By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Dar es Salaam. A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told...
Back
Top Bottom