MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 24 Abed Rajab Mbuba (54), ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Shinji iliyopo Kijiji cha Shinji, kata ya Mbebe kwa kosa la kumbaka mwanafunzi.
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Shughuli...
Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha.
CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND )
CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND)
A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden)
Vyote...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo cha Kiswahili Mariam Jumanne Sanane (23) kwa kosa la Kuchapisha na kusambaza taarifa na takwimu za uongo kuhusu Corona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp.
Akitoa...
Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao...
Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere
Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu
Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji.
Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
Wakuu wangu wazuri nawabusu.
Kuna mdogo wangu amemaliza Form Four Kisutu girls pale posta (Shule ya serikali) ana division two.
Sasa kuna Uncle alimuahidi kuwa akipata ufaulu mzuri atamsomesha Advanced shule moja private ipo Tanga.
Dogo anatarajia kusoma PCB (tuseme combination za science)...
Wakuu mtakuwa mashahidi, elimu siku hizi duniani imerahisika sana.
Sio vita tena, bali ni kutoana ujinga tu kisha kila mmoja apambane na hali yake akiishafika huko mitaani.
Sasa kumtaka mtu kwa siku moja ajibu maswali ya vitu alivyojifunza kwa miaka minne ni utamaduni uliopitwa na wakati...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.
--+
MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la pili Shule ya Msingi Jitegemee Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani nchini Tanzania (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekutwa amekufa ndani ya nyumbani ambayo ujenzi wake bado haujakamilika.
Mwanafunzi huyo ambaye inadaiwa alipotea tangu Januari 14...
O'Plerou Denis Grebet (22), msanii wa Ivory Coast, anaifanya Afrika kujivunia kwa kuweka picha chanya juu ya bara la Afrika ameunda emojis 350 ambazo zinaonyesha uzuri wa utamaduni wa Kiafrika katika aina zote.
Alivutiwa kuunda emojis kuhusu Afrika kwa sababu picha alizoziona kuhusu bara hilo...
Moshi. Wingu limegubika mahali alipo askari wa kikosi cha Usalama Barabarani maarufu kama trafiki, anayetuhumiwa kumjaza mimba mtoto mwenye umri wa miaka 14 wa askari mwenzake.
Januari 9, Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Salum Hamduni aliliambia gazeti hili kuwa polisi huyo anashikiliwa na...
Jamani naomba kupata maelekezo kuna uwezekano kwa mzazi kumchukulia mtoto wako cheti chake cha form four au six kama yeye mwenyewe hayupo nchini na nina documents zote zinazoonyesha hayupo.
Cheti original kinahitajika chuoni alipo. Je, kuna uwezekano wa mzazi kukichukuwa? Na je, utaratibu...
Polisi wilayani Kisarawe mkoani Pwani, inamshikilia Mchungaji wa kanisa la EAGT la Mtamba, Shauri Steven kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi akimlaghai kupitia huduma ya maombi
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Mtamba wilayani Kisarawe mkoani Pwani, Shauri Steven...
Polisi wa huko Jinja wanachunguza tukio la walinzi wa usalama kumpiga risasi mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Kampala, tawi la Jinja.
Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Isaac Katagwa aliyekuwa akisoma Shahada Usimamizi wa Hoteli, utalii na burudani alipigwa risasi ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Songwe, imempandisha kizimbani Chrispin Kibona (18) mwanafunzi wa kidato cha pili Idigima Sekondari, kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi mwenzake miaka wa 17.
Akisomewa mashtaka hayo Mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka wa Serikali Gibson Tawale...
OCD wa wilaya ya Busega kwa muda sasa ameikalia kesi ya ubakaji ya mwanafunzi wa Mkula Sekondari iliyoko BUSEGA MKOANI SIMIYU inadaiwa kwamba Mwanafunzi huyo ameachishwa shule mpaka ss lakini cha kushangaza kesi ya mwanafunzi haijafika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa hii inatokana na kwamba...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Eric Nyadida anayedaiwa kuwa mtunzi wa wimbo maarufu wa matangazo wa Equity Bank uliotumika katika mradi uitwayo Wings to Fly ameishitaki benki hiyo kwa kukiuka makubaliano na kuitaka benki hiyo imlipe kiasi cha Milioni kumi za Kenya.
Pia, kijana huyo ameiomba Mahakama...
Wadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.