Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire.
Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya...
Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza
KARIBU MTU KANYE
TUJITETEE.
Katika tukio la kushangaza, mzee mwenye umri wa miaka 52 anadaiwa kumuoa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bugire iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara.
Vyanzo vyetu vya uhakika kutoka Rorya vimeeleza hivi karibuni kuwa msichana huyo mwenye umri wa miaka 15...
Mwalimu mkuu wa shule moja nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa madai ya kumlazimisha mwanafunzi kijana wa miaka 11 kutafuta simu kwenye shimo la choo.
Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alimshukisha mwanafunzi huyo kwenye shimo la choo kwa kutumia kamba akimuahidi randi 200 sawa na dola 14...
Wilayani Kyela, Katika kata ya Serengeti siku ya jumamosi 27-02-2021 ilipata kuanguka nguzo mojawapo ya umeme wa Tanesco Hata kukapelekea kukosekana kwa umeme katika katika kata hiyo. Ikumbukwe leo ni Ijumaa ya tarehe 05-03-2021.
Wana-Serengeti wakafanya jitihada ya kuwasiliana na mamlaka za...
Naonelea History na Civics ziwe hazina mitihani wala notisi. Zifundishwe kwa njia ya masimulizi. Tena ili kurahisisha ugumu masomo haya yasimuliwe kwa lugha ya Kiswahili.
Pia mtaala wa kiswahili upunguzwe. Mambo ya mofimu na kuchambua sentensi yatolewe na ikiwezekana kidato cha pili iwe mwisho...
Wazazi waliokuwa na hamaka walivamia shule ya msingi ya Gitithia eneo bunge la Lari wakitaka kukamatwa na kuzuiliwa kwa mwalimu aliyemtandika mwanafunzi ambaye baadaye aliaga dunia.
Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa tu kama Wambui anasemekana alipigwa kichwani na mmoja wa walimu wakati alikuwa...
Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena...
Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana
Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
Mwalimu wa shule ya msingi Isomya, Manispaa ya Singida, Mjengi Samsoni Munkeny, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la sita katika shule hiyo.
Katika shauri la jinai namba 81/2020, Mwendesha Mashtaka...
Jesshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Said Shabani (39) kwa kosa la kumuua Naomi James (17) mwanafunzi wa kidato cha pili, Shule ya Sekondari Kivukoni, mkazi wa Mtaa wa Nyatorotoro B, Kata ya Nyankumbu wilayani Geita Mkoani Geita kwa kumutuhumu kuiba kuni.
Akizungumza tukio hilo leo...
Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.
So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.
Maana...
Wimbi la wanafunzi kufa maji wakiogelea mkoan dodoma linazidi kushika kasi ambapo Jana jioni mwanafunzi mmoja wa ilboru kidato cha 5 aitwae Francis amefariki akiwa anaogelea katika hotel maarufu ya St Gasper iliyopo dodoma baada ya kunywa maji mengi na kusababisha kifo chake.
Mwanafunzi huyo...
Naona wanafunzi wengi wa hapa nchini kwetu hasa wanaosoma PCB wanatamani kusoma MD tu... Kwani haiwezekani mtu kusoma PCB na asome course nyingine iliyonzuri zaidi tofauti na hiyo iliyozoeleka kwa watu wengi?
EGYPTY - ITALY ON THE VERGE OF DIPLOMATIC STANDOFF: Mvutano mkubwa wa kidiplomasia baina ya Italia na Misri juu ya kifo cha mwanafunzi Giulio Regeni.
Mnamo Septemba 5, Misri na Italia zilianza tena uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya mwaka mmoja na nusu, wakimrudisha Balozi wa Italia...
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
Serikali yaanika sababu kasoro majina kwenye ajira za walimu
SERIKALI imeeleza sababu zilizochangia kuwapo kwa kasoro mbalimbali kwenye majina ya ajira za walimu 13,000 zilizowekwa kwenye tovuti hivi karibu.
Hali hiyo ilizua mjadala na maswali mengi katika mitandao ya kijamii, huku ikibainisha...
MWENYEKITI wa Kijiji cha Ijinga katika Wilaya ya Magu, Badri Juma Masengo (40) anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Ijinga mwenye umri wa miaka 15 jina linahifadhiwa.
Kutokana na kadhia hiyo jeshi la polisi Wilaya ya Magu,linamshikilia mwenyekiti huyo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.