Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana katika mashamba ya chuo hicho hivi karibuni huku chanzo kikikwa bado hakifahamiki.
Ibada hiyo...
Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo husika. Mwanafunzi ajifaulishi anafaulishwa na wanaofaulisha ni wasimamizi wake.
Prof Mwandosya na...
Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile.
Unaweza kutoa general au single subject!
Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo.
Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo rasmi hapana.
Nitajieni ni nchi gani Ulaya na Amerika ambayo inatumia mfumo huu unao letwa...
Mwanafunzi Ibrahim Shaaban wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) anashikiliwa na polisi Mkoani Arusha Kwa kosa la kumuua mwenzake Evance Florian (17) katika ugomvi wa kudaiana sh, 3000.
Kamanda wa polisi Mkoa hapa Justine Masejo amethibitisha tukio hilo na kudai kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Itete kata ya Kirando Wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuoa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Jesca Mwanji (16) tangu mwaka jana na kuishi nae katika majengo ya Serikali yaliyopo katika Shule ya Msingi Itete anaposoma...
Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B.
Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
Naomba ushauri ya kutuma pesa India ya matumizi ya mwanafunzi bila kupitia wester union maana wana makato makubwa je kuna kampuni nyingini ya kutuma pesa India?
Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi?
Natanguluza shukrani!
Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita.
Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki.
Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.
Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.
---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM
Tito...
MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa la tatu baada ya kulipa mahari ya Sh. 330,000 pamoja na nguruwe mmoja.
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa), alikuwa darasa la tatu na...
Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh.
Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa...
Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo
Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo...
Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake.
Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;-
Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha.
Na wengine wapo wenye uwezo wa...
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili.
Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.