Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10.
Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo...
Mwanafunzi wa kidato cha PILI katika shule ya sekondari ya DOTTO BITEKO,
Kijana MATHEW PETRO mwenye umri wa miaka 17 amejinyonga mpaka kufa
Taarifa kutoka kwa mwanafunzi mwenzake aliekuwa akisoma nae amesema sababu ya kijana MATHEW PETRO kuchukua uamuzi wa kujitoa uhani ni KULAZIMISHWA KUSOMA...
SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s
John Iliffe anasema historia ya TANU nyingi ipo kwa watu.
Hili mimi nimelishudia mara nyingi.
Aliyonieleza Sheikh Shaban Rashid Msuya jioni moja tukiwa tumekaa kwenye ukumbi wake Ugweno Kata ya Kifula sikuyategemea.
Awali...
Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira.
Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni...
Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa amehitimu darasa la 7 mwaka 2021 akisubiri kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2022
Hukumu...
Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022.
Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma Kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 Wilayani Lindi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Foka Dinya...
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya.
Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa...
Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wakidai kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari iliyopo Kata ya Bombambili mjini Geita.
Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Februari 24, 2022 saa...
Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
Mwanafunzi Saada Ngedea(14) wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Shinamwenda Mkoani Geita amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya mti ambayo aliifunga kwenye mti.
RPC wa Geita Henry Mwaibambe amesema chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa analazimishwa kutoka Kijijini wao na...
Watu wasiojulikana wamemuua kikatili mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge mkoani Tabora, Maria Kazungu (13) na kisha kunyofoa viungo vyake vya siri wakati akienda kisimani kuchota maji.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi (ACP) Richard Abwao...
Wakuu wa mikoa na wilaya wametakiwa kusimamia kila mwanafunzi kupanda mti mmoja kila mwaka katika shule za msingi na sekondari ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoathiri sekta ya elimu ikiwemo kusababisha udumavu kwa watoto shuleni.
Pia, maofisa elimu wa mikoa na...
Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021.
Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July.
Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu.
Sasa nilitamani...
Na SHABAN MAKOKHA
SHEREHE za kutuza mshindi wa kula boflo na kunywa soda jana ziliishia simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja kunyongwa na mlo huo hadi kufa kwenye Shule ya msingi ya Sikura, Kaunti ya Busia.
Marehemu Harrison Oduor Ouma, alikuwa kati ya wanafunzi waliojawa na furaha akitumai kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.