Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja...
Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi.
Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi...
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka.
Chanzo cha mauaji hayo...
Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya
Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
Jina: Hussein Juma Jitihadi
1.0 UTANGULIZI
Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya kutoka katika mfumo wa Elimu ulio imara na wenye kubadilika ili kukidhi mahitaji. Elimu hutumika...
Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa.
Nini kilitokea
Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi.
1. Nani...
Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani.
Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi.
Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
Utangulizi
Mfumo wa elimu nchini humfanya mwanafunzi azingatie Sana kusoma, Hali ambayo inamfanya kuwa mbali na harakati za kutafuta pesa zake mwenyewe.
Tunajua namna ambavyo shule huchukua muda mrefu mpaka kumaliza kiwango cha shahada ya kwanza.
Kwa kawaida mtu anaweza kuhitimu shahada ya...
Utangulizi
Elimu ni ufunguo wa Maisha ni neno ambalo limekua likizungumzwa sana katika jamii yetu. Neno hili limekuwa likitumika kuhamasisha wanafunzi kupenda shule na kuongeza juhudi zaidi katika masomo yao.
Wazazi wengi wamekua wakiamini na kuwaaminisha watoto wao kuwa bila ya kuwa na elimu...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa, imemhukumu kinyozi, Batista Ngwale (27) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyo alikuwa akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kibena iliyopo Iringa Vijijini.
Binti aliiambia...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na operasheni kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu ikiwa ni pamoja na kuwasaka wahalifu waliotenda makosa ya kijinai ya siku za nyuma katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam.
Katika hatua hiyo Polisi wamemkamata GADI DAUDI@ tito...
Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s
"Nakumbuka safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955, Sheikh Hassan bin Ameir alinichukua mimi na wenzangu kwenda Al Jamiatul Islamiyya kwani kulikuwa na sherehe ya kumuaga Nyerere.
Sisi vijana wa madras ndiyo...
Utangulizi.
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake
Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Singida, Manispaa ya Singida, Thomas Ngiracha, amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne (jina tunalihifadhi) wa shule hiyo.
Mkuu wa Shule hiyo, Joseph Shani na Mkurugenzi wa Shule, Matliga...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Buhalahala iliyopo halmashauri ya mji wa Geita, Johnson Thomas amekutwa amefariki pembeni ya mto siku sita baada ya kupotea, huku mwili wake ukiwa umetobolewa jicho na kusagwa unyayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.