mwanafunzi

  1. Lycaon pictus

    Kama ni mwanafunzi wa lugha(Kiswahili) UD na upo chuoni ni PM unisaidie kazi fulani hapo chuoni.

    Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
  2. Roving Journalist

    Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
  3. Roving Journalist

    DOKEZO Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

    Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu wanne pamoja na Walinzi wawili wa shuleni hapo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shule ya Rohila...
  4. L

    Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  5. mnkenimtaita78

    Je, ni sahihi mamlaka za elimu kumbadilishia Mwanafunzi jina lake?

    Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
  6. BigTall

    DOKEZO Kagera: Mwanafunzi wa Form 2 abakwa na mwalimu aliyekuwa anamfundisha tuition

    Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo. Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba. Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
  7. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  8. S

    Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  9. GENTAMYCINE

    Kwahiyo tumewahamishia Shule nyingine Walimu waliokuwa wakichekelea kupigwa Mwanafunzi ili wakacheke zaidi huko?

    Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka? Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi? Hovyo kabisa.
  10. BARD AI

    Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  11. BARD AI

    Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  12. R

    Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi

    Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani, amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani, ACP Pius...
  13. BARD AI

    Utata kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyedaiwa kupigwa na mwalimu

    Utata umeibuka kufuatia kifo cha mwanafunzi wa shule ya sekondari Sabasaba, baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kutoa taarifa iliyoonyesha kuwa kifo cha mwanafunzi huyo kilitokana na ugonjwa saratani ya damu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  14. M

    Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

    Inasikitisha sana. --- Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani. Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi...
  15. BARD AI

    Mzee wa miaka 62 adaiwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la 6

    Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga. Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...
  16. S

    DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

    Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa. Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?? Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
  17. Analogia Malenga

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
  18. JanguKamaJangu

    Shule ya msingi yaweka rekodi ya kutofelisha hata mwanafunzi mmoja kwa miaka 10

    Shule ya Msingi Laalakir iliyopo Kijiji cha Partimbo, Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imekuwa na matokeo ya alama "A" kwa miaka 10 mfululizo na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kimkoa na haijawahi kufelisha mwanafunzi Wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 ni 36, kati ya...
  19. Barackachess

    Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  20. BARD AI

    Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho. Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
Back
Top Bottom