UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya uongozi na huyu anayeitwa Kusiluka ndo VC wa chuo aliyeletwa ili chuo kibadilike. Ni wazi sasa VC mpya...
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!
Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!
Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG, na katuweka huku.
Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?
Okay, kimechunguzwa...
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.
UPDATE
Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
Jebras Jaluwa [27] Mkazi wa Kijiji cha Ikukwa Wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka 12 ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mshewe.
Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 63/2022 imetolewa Aprili 19, 2023...
Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti.
Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money
Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa.
Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
Emmanuel Kayuni (21) mwanafunzi katika shule ya Mansa, amefariki akiwa nyumbani kwa mpenzi wake katika mji wa Ndola alikokwenda baada ya kutoroka shule huku wazazi wake wakijua anaendelea na masomo, tovuti ya Zambian observer imeripoti.
Baba mzazi wa marehemu aitwaye John Kayuni, alisema mtoto...
Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo
Mwanza. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwinuko iliyoko Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Glory Faustine (14) amefariki huku mwingine, Emmanuel Lyatuu (13) akivunjika mguu wa kulia baada ya kudondokewa na jiwe wakitekeleza adhabu ya kuchimba kifusi.
Akizungumza leo Machi 17, 2023 Kamanda wa...
MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
Mtoto wa mkazi wa Dar es Salaa, Aisha Sijavala wa, anayesoma Shule ya Msingi Olympio ya Dar es Salaam anadaiwa kupigwa hadi kupasuliwa jicho na mwalimu wake.
Taarifa za mtoto huyo kupasuliwa jicho, zimetolewa na ndugu wa familia ya Sijavala jina limehifadhiwa, ambaye alisema, tukio hilo...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’.
Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji.
Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.