Katika muktadha wa utawala na usimamizi wa habari, suala la uwazi na ukweli linapewa kipaumbele cha juu.
Hii ni kutokana na umuhimu wa habari sahihi katika kuimarisha uhusiano kati ya serikali na wananchi.
Hata hivyo, katika Moshi Manispaa, kuna masuala yanayoonekana kuathiri ufanisi wa...
Wakuu,
Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo.
Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
Ni Mmoja wa wanahabari waliowai kunivutia sana kipindi anaripoti ITV, alikuwa na mbwembwe sana hasa kipindi cha uchaguzi.
Ningependa kujua alipo kwa sasa maana amepotea kabisa kwenye medani za habari!
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwanahabari, Erick Kabendera...
Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru.
Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
"Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
Picha mtandao
Taaluma ya uandishi wa Habari, ni miongoni mwa taaluma inayozalisha wahitimu wengi katika vyuo mbalimbali hapa nchini Tanzania kila mwaka. Wahitimu hao wanakwenda kufanya kazi kwenye vyombo vya habari kama redio, televisheni, magazeti na vyombo vya habari vya mitandaoni.
Kazi...
Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing.
https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
Mke wa Jamal Khashoggi, Mwandishi wa Habari aliyeuawa katika Ubalozi mdogo wa Saudia Mjini Istanbul, amepewa hifadhi ya kisiasa nchini Marekani.
Khashoggi alifariki Oktoba 2018, ambapo ujasusi wa Marekani umesema unaamini Saudi Arabia ndiyo iliyohusika na mauaji hayo.
Hanan Elatr, mke wa...
Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe.
Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya kimakosa ya Arshad Sharif.
Mwanahabari huyo alipigwa risasi na kuuawa mwaka mmoja uliopita na maafisa wa...
Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno.
Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano.
Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
Mtangazaji na Mwandishi maarufu wa Habari za Michezo nchini Cameroon Anye Nde Nsoh, ameuawa katika mji wa Bamenda uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi.
Ripoti zinasema kuwa Nsoh alikuwa kwenye baa alipovamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa risasi.
Kwa miaka mingi sasa Bamenda imekuwa...
Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao
Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili.
Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Shirikisho Athar Waheed na naibu mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Ujasusi Omar Shahid...
Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico
Mwandishi huyo mwenye umri wa Miaka 62 alikua anaendesha Ukurasa Katika Mtandao wa #FaceBook akiangazia Habari na Matukio ya...
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani.
Video clip inajieleza.
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000.
Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally mtu msomi, mchambuzi mwenye skills zake. Anaendana na mashabiki wake na sio yule..... pamoja narangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.