mwanahabari

  1. Allen Kilewella

    Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

    Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.
  2. Analogia Malenga

    Brent Renaud: Mwandishi wa Marekani auawa kwa kushambuliwa Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Marekani anayefanya kazi nchini Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Irpin, nje ya Kyiv, polisi wamesema. Brent Renaud, mwenye umri wa miaka 50, alikuwa mwandishi wa habari na mtengenezaji wa filamu ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo hilo kwa muda sasa...
  3. luangalila

    Wanahabari walia na waajiri kutopeleka michango mifuko ya hifadhi ya jamii

    Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf). Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari...
  4. The Sheriff

    Gerson Msigwa, mwanahabari nguli, anaswa na mtego wa habari potoshi

    Nimeshangazwa sana na Ndg. Gerson Msigwa kunaswa na mtego huu. Sina hakika kama kafanya hivi makusudi akiwa anajua uhalisia, ama anajua huu ndiyo uhalisia. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Sasa Msemaji Mkuu wa Serikali ameshindwa kuona kwamba hii video imetengenezwa tu kwa...
  5. Mzalendo_Mwandamizi

    Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

  6. R

    Mwanahabari Huru yuko wapi?

    Alikuwa mhabarishaji mwema hapa JF, siku nyingi simuoni kuandika hapa JF, yuko wapi jamani?
  7. H

    Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    WanaJF, Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa kuambulia kura 27,000 tu wakati mshindani wake Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM amefanikiwa...
  8. D

    Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala viongozi wa CCM hawawezi kutamka moja kwa moja kuishambulia Marekani kwa kuitaja kwa jina zaidi ya kuishia...
  9. GENTAMYCINE

    Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo...
  10. I

    Uchaguzi 2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  11. Pascal Mayalla

    Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

    Wanabodi, Wale wenye nafasi, unganeni nami kupitia TBC Live kuangazia Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa nchini Tanzania, Mtangazaji wa TBC, Marin Hassan Marine, aliyefariki jana asubuhi kwenye hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Marin Hassan Marine ndiye aliyeanzisha...
  12. Analogia Malenga

    Dar es Salaam: Mwandishi wa Habari akutwa amefariki chumbani kwake

    Dar es Salaam. Mwandishi wa habari Deogratius David amekutwa amekufa chumbani kwake Buguruni jijini Dar es Salaam baada ya kutoonekana kwa siku kadhaa. Mwili wake umekutwa katika chumba hicho leo Jumatatu Januari 27, 2020 baada ya majirani kuanza kusikia harufu kali. Mwananchi lilifika eneo...
  13. beth

    Mwandishi wa habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera ataka kuongea na DPP ili kumaliza kesi yake

    Jebra Kambole, wakili wa mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera ameijulisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mteja wake anataka kujadiliana na mkurugenzi wa mashtaka (DPP) namna ya kumaliza kesi inayomkabili. Ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 11, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi...
  14. Roving Journalist

    Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

    Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia. Namba ya gari lililomchukua imetajwa ni T746DFS. Erick Kabendera, a...
  15. Anicet mchomvu

    Profesa Baregu afunguka sakata la Membe na 2020

    Sakata la tuhuma dhidi ya Bernard Membe kuanza mapema mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi ujao, lililowekwa wazi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ally limemuibua Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu. Profesa...
  16. neophyte

    INAUZWA unataka kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto na yenye unyevu?

    imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya husababishwa na mazingira. tsh9000tu. kama vile kutokwa na chunusi kutokwa na utangotango kuwashwa...
  17. E

    Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge

    Kwako Mh. Rais John Pombe Magufuli Leo kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nimeamua kuweka mada kwenye hii forum. Ni kwa ajili yako mkuu. Nimeshawishika kuweka mada hii maalum kwa ajili yako hasa baada ya leo kuingia humu Jamii Forum na kukuta mada nyingi (posts)zisizopungua kumi (10)...
  18. Donatila

    Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea. Ni siku 10 na hajulikani alipo

    Mwandishi wa @MwananchiNews apotea. Siku 10 hajulikani alipo. Alikuwa anafanya uchunguzi wa Habari nyeti. Nataraji kesho tutajua zaidi - ZZK. KUHUSU AZORY GWANDA Azory Gwanda alizaliwa 1975 na alikuwa ni mwandishi wa habari wa Kampuni ya ya Mwananchi Communications iliyopo jijini Dar es...
Back
Top Bottom