Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno, anayejulikana kama "Rais wa Molo," alishambuliwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake, takriban mita...
Wajameni!
Lema leo ametema cheche zake katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa. Na ameonyesha kummunga mkono Tundu Lissu
====================
Na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama hiki CHADEMA kwa maamuzi haya (kumuunga mkono Lissu) ambayo ni ya kidemokrasia sana yatawakwaza...
Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama.
"Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati maarufu wa dunia hii ni kama Julius Nyerere, Nelson Mandela. Yeyote yule unayemfikiria katika Afrika hii...
Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka kwenye tissue za mwili kwenda kwenye lung
Mr. Erythrocyte unathamani kubwa sana kwa sisi kingdom...
Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila Mwanasiasa dhaifu sana.
Ukiangalia kwa undani zaidi utaona Hotuba nyingi za Lissu zinaiumiza sana...
Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati.
Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola.
Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani.
Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo...
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Mwanaharakati afichua Miradi Hewa ya Rais Ruto
Wakili na Mwanaharakati wa Uwajibikaji, Morara Kebaso alianzisha ziara ya kitaifa ili kukagua Maendeleo ya Miradi iliyoanzishwa na Rais William Ruto
Lengo likiwa ni kuthibitisha hali halisi ikiwemo utendaji kazi wa Miradi ambayo Rais amezindua...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".
Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona...
Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge
Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023
Akizungumza na...
Yafatayo ni mahojiano na Miko Peled.
Mwanaharakati Myahudi wa Israel na Marekani Miko Peled anaelezea kile Israel inakifanya na kwa nini wanafanya hivyo. Pia anaelezea baadhi ya historia yake na mazingira yasiyojukana na wengi yanayozunguka Israeli na Palestina.
Miko Peled ni mwandishi...
Sina la kuandika zaidi sababu title imejielezea.
Sijaona visionary leader yyt kutoka upinzani hadi sasa, endeleeni tu kutimiza wajibu wenu wa kuikosoa serikali na kuchangamsha mitandao ya kijamii lakini kule juu sidhan kama mtafika, labda miaka 100 ijayo.
Tuongee ukweli ndugu zangu, nani...
Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo.
Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
‘Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
‘(2) Kila raia anayo haki ya...
Hakuna anaemtumia huyu dada Maria zaidi ya Maria na tabia zake na ushangingi wake mwenyewe na tumbo lake.
Maria alikuwa hawara kwa mwanasiasa fulani akahaidiwa ndoa halafu dakika ya mwisho akatoswa na kuolewa Mwanamke mwingine.
Kichaa kilianza hapo.
Wazee wa Slip way mnakumbuka enzi zile...