mwanamuziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

    Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
  2. Mwizukulu mgikuru

    Wimbo yatapita wa mwanamuziki Diamond unavyotukumbusha msoto tuliopitia ( mwendazake government)

    Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
  3. ASIWAJU

    Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

    Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini. Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Hakika huyu mwamba ali utendea kazi iliyo bora muziki hasa katika muziki wa reggae alio onesha ustadi...
  4. JanguKamaJangu

    Nigeria: Mwanamuziki D'banj akamatwa akituhumiwa kwa ulaghai wa fedha

    Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea. Msanii huyo ametajwa kuwa ni balozi wa Mradi huo wa N-Power ulizinduliwa na Rais Muhammadu Buhari Mwaka 2016 lakini...
  5. Lady Whistledown

    Nigeria: Mwanamuziki Ice Prince akamatwa kwa kumteka na kumpiga afisa wa polisi

    Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza...
  6. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Kenya: Mwanamuziki Gabu ashindwa katika kura

    Mwanamuziki wa Kenya, Gabriel Kagundu ‘Gabu’ ameshindwa katika uchaguzi alipokuwa akiwania nafasi ya uwakilishi wa Woodley kupitia tiketi ya ANC ambapo amezidiwa na Davidson Ngibuini 'DNG' wa UDA. Baada ya matokeo, Gabu ambaye amewahi kuwa memba wa Kundi la P-Unit ameshukuru wafuasi wake na...
  7. Mohamed Said

    Picha Adimu Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Mwanamuziki Eduardo Masengo na Julius Nyerere Rais wa TANU 1958

    ''Peter Colmore signed Edouard Masengo the gifted guitarist from Elizabethville, Belgian Congo to promote Coca-Cola. Masengo had come to Nairobi with a group called Je-Co-Ke meaning, Jean Comedian Katanga. Colmore who was already in broadcasting was informed that there was a young man in town...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Simulizi ya kusisimua: Kaburi la Mwanamuziki

    Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Sehemu ya 1 “Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza tangu jana akaniletea Daftari lake, amefanya vizuri sana. Richard! Tafadhali njoo uchukue Daftari...
  9. Forest Hill

    Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
  10. U

    Mfahamu kwa Picha Ndyanabo Balidisya mtunzi wa kitabu Cha Shida na Dadake na Mwanamuziki Patrick Balidisya

    Mungu azidi kumrehemu yeye na kakake Alikuwa mtunzi na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaamf
  11. superwarkills

    Wadau: Tanzania Muungeni mkono Mwanamuziki JettyMan

    Anaitwa Samson Noha...(Maarufu kama Jettyman),Licha ya changamoto ya kiafya anayopitia zaidi ya miaka 6 sasa lakini amekuwa akifanya muziki wake akiwa kitandani,na zaidi sasa amekuwa ni producer mzuri kabisa. Kwa wale wanaokumbuka ule wimbo wenye introduction "kama naikumbuka hivi inasema...
  12. Nyuki Mdogo

    Babu zake na mwanamuziki Prince Dully sykes

    Picha hapo chini: kutoka kulia ni abdhullwahid Sykes na mdogo wake ally Kleist Sykes, wamevaa gwanda za kijeshi za king's African rifles, waliposhiki vita vya pili vya Dunia. Na hawa ndio waanzilishi wa TANU
  13. beth

    Zambia: Mwanamuziki Slapdee ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala

    Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front. Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
  14. Civilian Coin

    Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  15. Miss Zomboko

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki leo akiwa Muhimbili

    Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo. Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61. Ismail atakumbukwa...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nico Zengekala: Mwanamuziki kipofu aliyetikisa Tanzania

    ILIPOSIKIKA sauti yake kila mpenzi wa muziki anayefuatilia bendi za hapa nyumbani alihisi kuna kitu kipya kimeingia katika tasnia ya muziki wa dansi. Hiyo ilikuwa mwaka 1982 alipoingia kwa mara ya kwanza nchini mwimbaji hatari kutoka mkoa wa Pwani nchini Kenya Nico Zengekala akiwa ni mwimbaji...
Back
Top Bottom