mwanariadha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigBro

    Mwanariadha Pistorius aachiwa huru kutoka gerezani

    Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki mwenye ulemavu wa miguu, Oscar Pistorius ameachiwa huru leo kwa msamaha nchini Afrika Kusini baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Reeva Steenkamp. Alimpiga mpenzi wake risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka 2013...
  2. D

    Mwanariadha SISAY LEMMA wa Ethiopia avunja course record ya Valencia Marathon TRINIDAD ALFONSO mapema hii leo..

    Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka jana 2022(saa 2:01:53), bila kumsahau mtanzania Gabriel Geay alishika nafasi ya 5 katika shindano hili...
  3. Melubo Letema

    Serikali yampokea Mwanariadha Magdalena Shauri baada ya kushinda Medali ya Shaba

    Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela , Charles Maguzu kutoka BMT na Kiongozi wake Jeshini (JWTZ) Arusha. mara...
  4. Melubo Letema

    Mwanariadha Mtanzania Magdalena Shauri aweka Rekodi ya Taifa Berlin Marathon

    Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani. === Assefa clocked 2hr 11min 53sec, more than two minutes ahead of the previous world mark of 2:14:04...
  5. Melubo Letema

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay atua Sydney Australia kushiriki mbio za Sydney Marathon Jumapili ijayo

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili. Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
  6. GENTAMYCINE

    Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa hujuma aliyoifanya kwenye mashindano

    "Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba radhi na asitafutwe mchawi, nitajitahidi katika mashindano yajayo," amesema Mwanariadha aliyejivunja...
  7. Melubo Letema

    Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika huko Budabest, Hungary

    Jezi atakayoivaa Alphonce Felix Simbu siku ya Mashindano. Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania na Mwakilishi Pekee , Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika huko Budabest, Hungary ; kuanzia 19 -27 Agosti 2023. Simbu anatarajia...
  8. Melubo Letema

    Gabriel Gerald Geay ashika nafasi ya pili, 10K Atlanta nchini Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku chache zilizopita alizokimbia Boston B.A.A 10K na kutumia muda wa dakika 27:49. Mashindando hayo...
  9. Melubo Letema

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay aweka muda wake Bora Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Gerald Geay ashinda mbio za Boston 10K (B.A.A 10K) na kuweka muda wake bora wa 27:49 huko Boston, nchini Marekani Jumapili, tarehe 25 Juni 2023. The B.A.A. 10K 2023 Results: Men’s 10k results: Gabriel Geay (Tanzania) – 00:27:49 Edwin Kurgat (Kenya) – 00:28:01...
  10. B

    Mwanariadha Gabriel Geay wa Tanzania awa tishio mbio za Boston marathon 17 April 2023

    Boston, Marekani MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023 GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY ! Evans Chebet of Kenya wins back-to-back Boston Marathons, this time in 2 hours 5 minutes 54 seconds...
  11. JanguKamaJangu

    Mahakama yaiamuru MultiChoice iwalipe mwanariadha Simbu na wenzake Tsh. 450m

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania. Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
  12. MK254

    Mwanariadha mwanamke wa Iran apokelewa kwa shangwe ila wapo wanaomsubiri kwa kutositiri nywele

    Alipambana na kukamilisha mchuano nywele zikiwa nje akiwa huko Korea, sasa amegeuza nyumbani Iran na kupokelewa na maelfu ya wananchi amao wamechoka dhuluma za kidini, ila pia majihadi yanamsubiri hivyo maisha yake yako hatarini.... Iranian competitive climber Elnaz Rekabi received a hero's...
  13. MakinikiA

    Huyu ndiye aliyevunja rekodi ya mwanariadha Eliud kipchoge

  14. JanguKamaJangu

    Mwanariadha afariki akishiriki katika mbio za London Marathon 2022

    Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 alifariki baada ya kuzimia alipokuwa akikimbia mbio za London Marathon, waandalizi wamethibitisha. Mwanamume huyo, kutoka kusini-mashariki mwa Uingereza, aliugua kati ya maili 23 na 24 kati ya tukio la maili 26.2. Alipata matibabu ya haraka na gari ya wagonjwa...
  15. John Haramba

    Mwanariadha wa kike kutoka Nigeria afungiwa miaka 10

    Mkimbiaji wa mbio fupi wa Nigeria, Blessing Okagbare amefungiwa kushiriki mashindano ya riadha kwa miaka 10 kwa kukiuka taratibu za kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni. Kikosi cha kusimamia uaminifu kwa wakiambiaji (AIU) kimesema mwanariadha huyo mwenye miaka 33 amefungiwa kwa...
  16. Alice Gisa

    Ethiopia: Mwanariadha Haille Gabriselassie kaungana na Jeshi kuwapiga Waasi

    Baada ya PM Abiy Ahmed kutangaza kwenda msitari wa mbele wa mapigano vitani. Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu maarufu kutangaza kwenda vitani pia. Vita ni propaganda hapa tayari Watgray wajiangalie naona upepo utawaelekea vibaya. --- Ethiopian Olympic legend Haile Gebrselassie has announced...
  17. L

    Su Bingtian, mwanariadha anayekimbia kwa ajili ya ndoto

    Tarehe Mosi Agosti, jioni, mwanariadha wa China Su Bingtian alionekana katika fainali ya mbio za mita 100 kwa wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Tokyo. Hii ni mara ya kwanza kwa mwanariadha wa China kuonekana kwenye fainali ya mbio hizo katika Michezo ya Olimpiki. Mwishowe, Su alishika...
Back
Top Bottom