Tarehe Mosi Agosti, jioni, mwanariadha wa China Su Bingtian alionekana katika fainali ya mbio za mita 100 kwa wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Tokyo.
Hii ni mara ya kwanza kwa mwanariadha wa China kuonekana kwenye fainali ya mbio hizo katika Michezo ya Olimpiki. Mwishowe, Su alishika...