Rais Donald Trump amemshambulia kwa maneno mwandishi wa habari wa CNN alipokuwa akitetea uamuzi wake wa kuchelewesha vikwazo dhidi ya Urusi wakati wa mazungumzo yaliyolenga kuhakikisha kuachiwa kwa raia wa Marekani, Stephen Hubbard.
Trump alimwambia mwandishi huyo: “hujui unachozungumza, wewe...