Danieri Basammula-Ekkere Mwanga II Mukasa (1868 – 8 May 1903) was Kabaka of Buganda from 1884 until 1888 and from 1889 until 1897. He was the 31st Kabaka of Buganda.
Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye umri wa miaka 28. Nimeona leo nizungumzie masuala yanayousu taifa letu au nchi yetu ya Tanzania kwa utafiti wangu nilioufanya ndani ya miaka 6 kwenye mikoa ipatao 7 ndani ya nchi yangu ya Tanzania.
Ninaposema mwanga wa Taifa kuna baadhi wa watu wanaweza...
Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji...
Julai Mwaka 1992 Tanzania iliutangazia ulimwengu kuwa itaanza uchaguzi mkuu ambao utashirikisha vyama pinzani(mfumo wa vyama vingi) na mnamo mwaka 1995 ndipo uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi ulipofanyika. Matukio hayo yote yamekuwa yakishuhudiwa na wananchi wa Tanzania kwa muda wa...
Ni matumaini yangu kwamba ewe msomaji ubuheri Wa afya.
Leo nimekuja na makala fupi ambayo itatupa mwongozo na kutufanya tujikwamue Kutoka gizani(kwenye kiza) na kutufanya tuifikie nuru. Makala hii imejikita zaidi katika elimu na maendeleo ya mtanzania na Mwafrika kwa ujumla.
Unaelewa...
Mwaka 2025 siyo mbali kama Mwenyezi Mungu anakuweka hai,ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kumpata Rais, wabunge na madiwani na kuna majimbo ya uchaguzi ambayo hakika makada watatoana jasho kweli kweli.
Jimbo la Mwanga ni moja ya majimbo nane ya uchaguzi mkoani Kilimanjaro ambalo kwa sasa mbunge wake...
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania.
Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata...
Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara
Huwa najiuliza:
Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa?
Kimsingi ni hatari sana...
DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle.
Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.