mwanza

  1. Pdidy

    KAMA HILI LA MKUU WA MKOA MWANZA KWELI..TFF BODI YA LIGI MNAHITAJI MPELEKWE KWA MWAMPOSA MKAOMBEWEEE

    Jana nimemsikia mkuu wangu kaka Yangu msemaji wangu wakimhoji kuhusu UWANJA Simple akasema kaulizen tff waliopokea wale waliokuja kukagua wakatangaza kuufungia Nirudi kwenye madaa HAPO juu Nimemsikia mkuu WA MKOA MWANZA akilalamika UWANJA umefungiwa Akaita viongozi WA UWANJA JE Kuna mtu...
  2. Damaso

    TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  3. K

    KERO Wakatisha tiketi stendi za mabasi Mwanza wanabaki na pesa zetu kwa kisingizio cha kukosa chenji

    Viongozi jiji la Mwanza mko wapi kwa haya yanayoendelea stand za kuu za mabasi ya kwenda mikoani tena stand zote mbili hawa watu wanaokatisha tiketi za kuingia ndani ya stand wamejiwekea utaratibu wa kujikusanyia pesa binafsi kwa kisingizio cha kukosa chenji. Kiwango kilichowekwa ni Tsh 200...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Maelfu ya mabinti wa vyuo mkoani Mwanza wavutiwa na uongozi wa rais Samia, wameomba kukutana naye

    Kampeni ya Mama asemewe imeadhimisha sikukuu ya Wanawake mkoani Mwanza kwa kuandaa Kongamano kubwa la BINTI WA LEO, SAMIA WA KESHO ambapo lilikusanya takribani Mabinti 2000 kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Mwanza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  5. SAYVILLE

    Zimwi la tukio la Mwanza bado linaiandama Simba

    Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo. Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya hadi kuzua taharuki kubwa. Tukio lile halikuwapendeza baadhi ya watu wanaodhani na kuamini wana...
  6. Somaiyo

    Maigizo ya ujenzi wa barabara na maendeleo ya mkoa wa Mwanza

    Katika pitapita zangu mjini Mwanza, nimeona barabara kuu mbili zote zina wakandarasi zikiboreshwa kutoka njia mbili mpaka nne, na inasemekana wanaacha nafasi kubwa katikati Kwa ajili ya mwendo Kasi, Sema sasa MAIGIZO ni mengi yaani ni kama mambo hayaendi!! Nata to Igoma:- barabara mkandarasi...
  7. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Rc Mtanda afungua mafunzo ya elimu ya uraia na utawala bora Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya Uraia na Utawala Bora. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo mapema leo Machi 03, 2025 wakati alipokuwa...
  8. K

    KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
  9. A

    KERO Mwanza: Hatuna Maji katika kata za Isamilo na Kiloleli

    Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa...
  10. The Watchman

    Pre GE2025 Ilemela Mwanza: Vikundi 60 vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13

    Vikundi 60 vya wanawake vijana na wenye ulemavu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13. Akizungumza kwenye hafla ya utoaji mikopo ya asilimia 10 ya Shilingi bilioni 1.13 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Mkurugenzi...
  11. RWANDES

    Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  12. The Watchman

    RC Mtanda: Awaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko hilo ili waendelee na biashara zao, kama walivyohakikishiwa na serikali. Mtanda ameyasema hayo alipokutana na wafanyabiashara hao...
  13. Pdidy

    Mzee magoma kaonekana MWANZA YANGA tujipange

    Habari zenye uhakika Mzee mamluki WA YANGA Mzee magoma ameonekana maeneo ya MWANZA Toka jana Akirindima maeneo karibu na SEHEMU mechi inapoenda kyfanyika Wanakamati WA YANGA msiliachie kirahisi hili tusijeadhibiwa ama yakatukuta ya Azam na Simba Alldbest
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake. Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa...
  15. Mwanza CCTV CAMERA

    FUNDI CCTV CAMERA MWANZA , ELECTRIC FENCE, REMOTE GATE, ALARM SYSTEM MWANZA 0747274532

    Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale. Tunafunga fensi...
  16. Mwanza CCTV CAMERA

    Fundi cctv camera Mwanza 0747274532

    Offer offer offer!!!! Pata complete set ya cctv camera 4 ikiwa na vitu vyote pamoja na ufundi kwa bei ya 750,000 tu ✓ufundi bure ✓tunamfata mteja popote alipo kwa gharama Zetu ✓camera zetu ni high quality ✓zina nasa sauti hivyo unaweza kusikiliza maongezi ✓zina mwanga mzuri hata kama ni...
  17. detected

    TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

    Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja Eneo: Mwanza Mjini Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja Mwisho wa Maombi : 27-02-2025 CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja. Sifa za Mwombaji: • Awe mkazi wa Mwanza...
  18. Matata25

    Secretary wa like anahitajika Mwanza

    Maconcept Enterprises Tunatangaza nafasi moja ya secretary mwenye sifa zifuatazo 1. Jinsia ya kike 2. Awe na umri usiozidi miaka 30 3. Awe uzoefu wa program mbalimbali za computer za designing 4. Awe anajua vizuri kiingereza na kiswahili 5. Awe mwaminifu na woga wa mali za watu 6. Elimu...
  19. MoSantu

    Arusha na mwanza ukijitafuta unajipata

    Wakuu habari zenu? Kuna hoja apo juu kwa upande wangu katika kuzunguka huku na huko nimekuja kupata majibu kwamba Arusha na Mwanza ni miji ambayo ukikaza kujitafuta unajipata. Nilikua na washikaji wanaishi Dsm wakati huo me nipo kaskazini, wakanishawishi kuamia dsm kweli bana nikasogea jiji la...
  20. The Watchman

    Pre GE2025 Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kushughulikia changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam–Dodoma ili zisijirudie katika ujenzi wa kipande cha Mwanza–Isaka. Prof. Mbarawa ametoa ushauri huo alipokuwa Malampaka, mkoani...
Back
Top Bottom