mwanza

  1. Jamii Opportunities

    Teller - Mwanza Branch at Standard Bank

    Job Description We are seeking a friendly and professional Teller to join our Mwanza Branch. As a Teller, you will be the face of our bank, providing exceptional customer service while accurately processing financial transactions. This role is ideal for detail-oriented individuals who enjoy...
  2. The Watchman

    Samia Legal Aid wamaliza mgogoro wa majirani Mwanza

    Jopo la Wanasheria wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Haki za Binadamu Bi. Beatrice Mpembo Februari 19, 2025 Jijini Mwanza wamefanikiwa kutatua changamoto ya ardhi iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kata ya Nyamagana. Hayo ya yamejili kufuatia...
  3. K

    KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

    Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
  4. T

    Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA Mwanza kupinga kutoweka kwa Katibu wa BAVICHA yapigwa marufuku

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo. Akizungumza leo Februari 18, 2025 na...
  6. J

    Hii kasi ya ujenzi wa bararara ya njia nne Mwanza- Usagara ni sawa?

    Wakati bajeti ya mwaka 2024/2025 ikisomwa, ilielezwa ujenzi wa barabara ya njia nne kati ya Mwanza hadi usagara, ungefanyika. Bajeti mpya ya 2025/2026 itawasilishwa hivi karibuni. Mwezi uliopita waziri mpya wa ujenzi alifanya ziara Mwanza. Tuliona vifaa vya kutengeneza barabara vikichimba eneo...
  7. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Serikali yazindua kamati ya ushauri wa Kisheria bila malipo, kutatua migogoro ya kisheria inayosababisha baadhi ya wananchi kuishitaki serikali

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini imezindua kamati maalumu ya ushauri wa kisheria na kliniki ya sheria bila malipo mkoani Mwanza ikiwa ni hatua ya serikali ya kutatua migogoro ya kisheria inayosababisha baadhi ya wananchi kuishtaki Serikali. Akizungumza jijini Mwanza Mkaguzi wa...
  8. T

    Uwanja wa Ndege wa Mwanza kulikoni tena wazalendo

    Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu. Sisi wananchi wa kanda ya ziwa tunaomba majibu na ufafanuzi kabla ya oktoba. Mimi ni mwana CCM ninapata shida sana...
  9. Mkalukungone mwamba

    Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali Kuhusu Hatma ya Maeneo Yao

    Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao halitasikilizwa wataanza rasmi kuendeleza maeneo yao. Wananchi hao ambao wamekuwa katika mgogoro wa ardhi...
  10. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Mzee Wasira apokelewa rasmi Mwanza, ateta na kamati ya siasa ya mkoa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  11. F

    Kutoka Mwanza jiji hadi kutua DSM - Mbagala

    Wakuu habari zenu na poleni na majukumu . Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama kabisa. Kwa sasa naishi maeneo ya Tabata Mwananchi - nimepanga. Hata hivyo katika tembea tembea...
  12. Ojuolegbha

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  13. comte

    Mdude Nyagali: Polisi walikosea kuwaua walioteka watoto Mwanza

    "Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi. Yani askari zaidi ya 20 wanashindwa kuwadhibiti wahalifu wawili wenye mapanga na kulazimika kuwaua kwa mbali kwa kuwapiga...
  14. Beira Boy

    Mwanza: aomba rift kwenye gari la shule na kuwateka watoto wa chekechea, ataka hela ili awaachie

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU MWENYEZI Kamanda mtafungwa ndo kayasema hayo Japokuwa maelezo ya kamanda hayajitoshelezi lakin ndo kasema hivyo =============== Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela jijini Mwanza wametekwa na kupelekwa kusikojulikana na mtu...
  15. Mkalukungone mwamba

    Mwanza: Wapenzi wawili wamekutwa wamefariki dunia. Chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi

    Watu wawili jinsia ya kike na kiume wanaodaiwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia katika mtaa wa Mkudi uliopo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi. Soma Pia: Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi Watu hao waliokutwa...
  16. Azoge Ze Blind Baga

    Kwenye connection ya kazi ya delivery agent kwa kampuni za mwanza anishtue au kazi yoyote ndani ya Mwanza

    Wakuu habari ya jumapili Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani Hali mbaya kitaa Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
  17. Mpwimbe

    Stand ya Gharama ya Nyamhongolo, Mwanza hata usafi wa kuondoa Buibui mmeshindwa???

    Kodi mnakusanya lakini hata usafi wa kuondoa buibui mmeshindwa??
  18. T

    Katakata ya umeme imeanza upya kuelekea uchaguzi mkuu, hapa kirumba Mwanza umekatwa.

    Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu tu bila taarifa.TANESCO iko shida kubwa, Watamharibia mama.
  19. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya Usagara - Mwanza Mjini KM 25 Kujengwa kwa Njia Nne

    BARABARA YA USAGARA - MWANZA MJINI KM 25 KUJENGWA KWA NJIA NNE Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye Barabara Kuu kutoka Mwanza Mjini hadi Usagara kwa kuijenga kwa njia nne. Ulega...
  20. M

    Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
Back
Top Bottom