TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222.
Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua.
Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK...
Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi.
Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA.
Call/Whatsapp 0746373222.
Instagram...
https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY)
Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b
ei rahisi halafu...
Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani. Hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami. Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni hilo.
Jamani naomba ushauri kati ya hivyoi vyuo kipi ni Bora na pia Nina mpango wa kwenda degree na nilisikia kuwa kama unataka kuendelea na degree ni Bora uende chuo Cha private je ni kweli?
Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza.
Nyote mnakaribishwa....
Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili kuwabana wameamua kugoma. Mm huwa hainiigii akilini mtu kugomea shughuli zake, anamgimea nani, na je...
Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea.
Video nimeweka hapa Chini.
************************************************************************************************************
Update Kutoka Mwananchi Digital
Siku moja baada ya...
Wakazi wa Mwanza ukaushaji dagaa bado ni kitendawili kwao kutokana na mwalo wa kuanikia dagaa kujaa maji.
Wakizungumza na NyakiTv wakazi wa Kijiwenu Chifunfu Sengerema Mwanza wameeleza changamoto wanazopitia kwenye ukaushaji dagaa Domina Benedicto Mwenyekiti wa kikundi cha Faraja ambacho...
Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja.
Taarifa zaidi zinafuata...
~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari
~ THRDC: Mwandishi...
Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tunaishukuru ofisi yako kuendelea kutujengea barabara za lami kwenye Mitaa yetu hasa Mtaa wa Mwananchi.
Barabara ya lami inayoendelea kujengwa hapa Mtaa wa Mwananchi kwanza unatekelezwa na Kampuni ya Jasco na unaendelea kwa mwendo wa kinyonga sana.
Tatizo...
Habari wakuu
Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti.
Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake.
Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne.
Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia.
Asanteni...
Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi nchini Rita umebaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza na hatua za kisheria zimeshaanza kuchukuliwa
Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Rita Frank Kanyusi
Source Mwananchi
My take; Kumbe Ufisadi hadi...
Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu.
Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo nishaondoa rasilimali zote nikahamishia huku.
Kila kitu naona hakiendi, mtaji niliokuja nao naona unazidi...
Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
Wadau,
Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki.
Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata mchana maramoja kwa wiki au wanatolewa usiku wa manane! Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa (Butimba)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.