mwanza

  1. D

    Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  2. Kati ya Ukerewe Mwanza na Kigoma wapi panaongoza kwa uchawi?

    Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
  3. Mgomo wa Daladala jijini Mwanza tarehe 11.03.2024

    Mgomo wa daladala unatarajiwa kufanyika jijini Mwanza tarehe 11.03.2024. Chanzo ni uwepo wa bajaji zinazobeba abiria kutumia route moja na Daladala. Nilifanikiwa kupata kipeperushi cha kuhimiza mgomo ambacho kila gari imelipia shilingi 1,000 kupata hicho kipeperushi kisha namba za usajili wa...
  4. Support ya msanii Soggy Doggy kwa wasanii kutoka jijini Mwanza

    SUPPORT YA MSANII SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA.. ____________________ ✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
  5. Natafuta Scooter Mwanza

    Habari Naomba kujua Kama pikipik tajwa zinapatikana Mwanza na bei zake zikoje? Hasa hasa Kampun ya Honda au hata TVS JUPITER. Ahsante
  6. Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

    Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe. Natanguliza shukrani wakuu
  7. Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  8. A

    DOKEZO Nguzo za Umeme zimekatika Nyasaka (Mwanza), tumeripoti TANESCO hawatujali Wananchi

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO. Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto ya nguzo kukatika lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Tumeenda mbele na kuamua kuwapigia picha...
  9. Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi . Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
  10. Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

    Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi. Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja, ukisimama miguu miwili...
  11. Pre GE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

    CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza. Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya...
  12. Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

    Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki maandamano. Wananchi wengi wanadhan kwamba i ili kushiriki Maandamano hayo ni lazima ujiandikishe, hivyo...
  13. Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
  14. E

    Anayejua sisi wa Mwanza tunaandama kwa sababu ipi anijuze?

    Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea. Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
  15. Pre GE2025 Dkt. Slaa athibitisha kushiriki maandamano ya CHADEMA jijini Mwanza

    Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa. Taarifa hiyo imetolewa jana Jumanne Februari 13, 2024 na Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia...
  16. Pre GE2025 Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani kupinga ugumu wa maisha, miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika. Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila ameongoza...
  17. Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  18. D

    Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

    Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
  19. K

    Kwanini ofisi ya Air Tanzania tawi la Mwanza hawavai sare?

    Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na...
  20. Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi ya Kanda ya Ziwa Victoria, Mwanza

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho leo kwa watu wote Duniani, kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za kisasa za chama hicho zilizopo Nyegezi. Bila shaka Ratiba ya Maandamano na njia za kupita Jijini Mwanza vitatolewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…