mwanza

  1. M

    Wapi nitapata kazi ya malipo ya 5000 kwa siku?

    Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo. NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
  2. Poppy Hatonn

    Inawezekana CCM ina hofu kidogo kuhusu mkoa wa Mwanza?

    Au labda "hofu" is too strong a word? Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule. Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache...
  3. Sega la asali

    Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  4. Eli Cohen

    Private high school ipi ni bora Mwanza kwa masomo ya sayansi?

    Dogo ni mvulana na anataka achukue PCB. High school yenye sifa ya kufaulisha vizuri kila mwaka.
  5. Suley2019

    Mwanza walia na mgawo wa umeme

    WAKAZI wa Jiji la Mwanza, wamepaza sauti zao, hususan wafanyabiashara wa hoteli na sehemu za kutoa huduma za afya, kwa kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutoa ratiba ya mgawo wa umeme inayoeleweka. Pia wamesema biashara zinahitaji kutumia gharama kubwa katika uendeshaji, kutokana na...
  6. Technophilic Pool

    Napata wapi majiko ya maranda Mwanza?

    Wakuu msaada, Nimetokea Iringa huko nimezoea kuona majiko ya maranda lakini Mwanza natafuta siyaoni. Msaada tafadhali
  7. Jiran mwema

    INAUZWA Nauza Refrigerator aina ya FrigoGlass, Niko Mwanza

    Habari Wanajamvi! Wacha niende Moja kwa Moja kwenye Maada yangu. Nina shida ya kifedha, hivyo nalazimika kuuza friji yangu aina ya frigo. Glass(650Ltrs)nimeitumia miezi mitano tu, kwamaana hiyo Bado ni mpya na iko kwenye hali nzuri. Bei ni Tshs 650,000/= Kwa mawasiliano nicheki 0745 493961
  8. Nigrastratatract nerve

    KERO Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

    Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza. Najiuliza mvua hii ikiendelea...
  9. Suley2019

    Watu 18 wakutwa na kipindupindu Shinyanga

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amesema watu 18 kati ya 41 ambao walikabiliwa na tatizo la kuhara na kutapika, wamebainika kuwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo. Desemba 28 mwaka Jana, Mkoa wa Shinyanga katika Kata ya Kagongwa wilayani Kahama, kulitokea vifo vya watu watano...
  10. D

    Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    Mwanza ikitengenezewa mazingira mazuri itakuwa sehemu nzuri ya kuishi hapa Afrika Mashariki

    Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi. Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
  12. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  13. Z

    Natafuta mke. Nipo mwanza

    Nna miaka 33 natafuta mke awe miaka 24 mpaka 28. Angalau awe na elimu ya form fourna kuendelea. Dini mkristo. 0759123551
  14. P

    Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

    Wakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
  15. Kijana LOGICS

    Mikoa midogo kieneo ni Dar na Kilimanjaro/Moshi

    Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar. Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA. Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja. Dar 70= Rukwa 1. Dar 75= Tabora moja
  16. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4 Kujenga Ambulance Boat Kupitia TASAC Ziwa Viktoria, Mwanza

    BILIONI 4 KUJENGA AMBULANCE BOAT KUPITIA TASAC ZIWA VIKTORIA, MWANZA Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) December 22,2023 imetia saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa boti yenye vifaa vya matibabu (Ambulance Boat) ambao umesainiwa baina ya TASAC na Kampuni ya...
  17. DPN

    TANESCO Nyakato Mwanza wanatutesa wateja wa Mwandulu - Kisesa

    Nawasilisha.
  18. Kingsharon92

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza hivi stendi ya Nyamhongoro mnaionaje?

    Kama kuna aliyetuloga nchi hii basi tumtafute tufanye tambiko laana na uchawi utuepuke, nimefika stendi ya mabasi nyamhongolo nadiriki kusema tumelaaniwa yaani mazingira ya nje kuanzia barabarani hovyo kabisa. Hivi nawauliza mliwaza nini kuacha mazingira yanakuwa ya hovyo kiasi hiki?
  19. MSAGA SUMU

    Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

    Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR. Daraja hili la...
  20. B

    Prof. Makame Mbarawa - Upanuzi wa Airport za Arusha, Lindi, Mwanza pia mwekezaji gati namba 8 bandari ya DSM apatikana

    08 December 2023 Arusha, Tanzania 16th Joint Transport Sector Review Meeting Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI /...
Back
Top Bottom