WAKAZI wa Jiji la Mwanza, wamepaza sauti zao, hususan wafanyabiashara wa hoteli na sehemu za kutoa huduma za afya, kwa kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutoa ratiba ya mgawo wa umeme inayoeleweka.
Pia wamesema biashara zinahitaji kutumia gharama kubwa katika uendeshaji, kutokana na...