Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja mkubwa kuhusu bilioni 20 alizotoa mwekezaji Mo Dewji katika club yake hiyo ya simba.
Kama...
Habari wadau,
Wajuzi wa sheria naomba mnipe vifungu vinavyoruhusu mwekezaji kuruhusiwa kununua mwananchi mmoja mmoja na kuwaondoa kijiji kizima kwa muda usiotabirika (Buyer to Seller).
Binafsi natambua kwamba mwekezaji akiitaji ardhi ya wananchi anapaswa kulitwaa na kuwaondoa wote kwa pamoja...
Mimi ni mchimbaji mdogo nipo na eneo la uchimbaji tatizo ni vitendea kazi,natafuta mtu mwenye kuweka compressor tu kwa ajili ya uchimbaji.
Nitamlatia shares,Kama na Kuna mwenye kuweza kupata ball mill(crusher pia)karibuni
“Kuhusu Mchuchuma na Liganga nimeshatoa maelekezo, Serikali inaendelea na mazungumzo na Wawekezaji kuona tatizo ni nini!, Serikali inaweza kujitoa hadi wapi Mwekezaji ajitoe hadi wapi na kwa sasa Duniani chuma imepanda bei ni wakati wa kuharakisha mradi ufanye kazi”
- Rais Samia Suluhu Hassan...
Mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya na kamati yake ya usalama wamemkamata mwekezaji Mtanzania Junior Kasanga akishirikiana na watu wengine wakiwemo raia kutoka nchini China wakitorosha madini ya dhahabu waliyochimba kwenye mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo.
--
Serikali wilayani...
Hii ndio Taarifa ambayo Mwekezaji Mzalendo Ndugu Mbilinyi ameisambaza kwa vyombo vya habari vya ndani na Nje ya Nchi , wakati akitia Saini Mkataba huo wa kusimamia masuala ya Logistics mbele ya jopo la Wanasheria wake wa Kimataifa na washauri wake wa masuala ya biashara Mjini Iringa
Sugu...
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
Habari,
Mimi ni kijana wa kitanzania, ninaishi DSM.. ninajishughulisha na kazi za usanidi wa mifumo ya kompyuta (computer programming).
Kampuni yangu mpya inaitwa sari technologies LTD.
Je, umeshawahi kusahau documents zako au mzigo wako wa muhimu sehemu..?
Je, umeshawahi kutaka kumtumia mtu...
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili.
Baba wa marehemu amesema mwanae amejinyonga kwa kuhofia ufukara na umaskini baada ya kunyang'anywa ng'ombe wake wote ambao...
Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
Hivi ule mpango wa kupata mwekezaji mpya kwenye mwendokasi - BRT umefikia wapi, maana tuliambiwa kama si mwezi wa nane au kumi na mbili kungekuwa na mwekezaji mwingine.
Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo Mtwara vijijini Hata baada ya kutompa ushirikiano wa kumfikishia...
TAA ZA KUCHAJI KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA ZA USIKU.
Hizi ni taa zinazo faa kwa matumizi aina zote yanayo hitaji mwanga mkali kwa muda mrefu.Vijijini na Mijini.
SIFA ZA KIMATUMIZI YA TAA HIZI.
1.Ikiwa full charge inauwezo wa kuwaka masaa 8 (full light),bila kuchaji simu,na masaa 6 (full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.