Watanzania tunachotaka ni katiba mpya kusaidia nchi. Katiba hii mpya ambayo majadiliano yameanza sio ya vyama vya siasa ni ya Tanzania nzima kwa ujumla. Tusiwe wazito kuchukuwa na kuiga wenzetu wa Kenya kwenye vifungu ambavyo tunajua kabisa vinafanya kazi vizuri. Vifungu hivi ni pamoja
1. Tume...
Kuna mvua zimenyesha juzi sehemu nyingi. Je, mvua hizi zitaendelea mpaka January tujiaminishe tupanda au tuache?
Kama tunapanda, tupande mazao gani? Miti ya kuhifadhi ardhi as one of the conditions for grant of a right of occupancy, mvua zitatosha kuhimili kushika?
Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia.
Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi...
SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema.
Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani...
Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama.
Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
Leo ni siku muhimu kwa kaka, mwenyekiti na shujaa wa kupigania uhuru wa kweli kwa nchi yetu.
FREEMAN AIKAEL MBOWE. Hii ndiyo siku aliyobatizwa. Baada ya kuzaliwa mwezi wa tisa, wazazi wake kwa ushirikiano na wadhamini wake wa ubatizo Mwl. JULIUS NYERERE (baba wa taifa) walisubiri hadi siku...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijua kuwa dalili mojawapo ya Taifa masikini ni kuwa na wakulima wengi!
Tanzania ina wakulima kati ya 65% hadi 80% katika population ya watu milioni 60, hivyo hili ni Taifa masikini sana!
Marekani yenye watu zaidi ya milioni 300 ina wakulima wasiozidi asilimia 10%...
Ms. Jesca Kishoa, Mbunge
Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka sepemba 2021, IMF kupitia Rapid Credit Facility (RCF) na Rapid Financing Instrument (RFI) imeidhinisha...
Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu.
Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60.
Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
MWELEKEO SAHIHI WA MAENDELEO YA TANZANIA
Maendeleo ni mchakato unaounda ukuaji, azimio, mabadiliko chanya, kupiga hatua, uchumi, mazingira, kijamii na idadi ya watu.
Kusudi la maendeleo ni kupanda kwa kiwango na ubora wa maisha ya watu pamoja na upanuzi wa mapato ya jumla na fursa za ajira bira...
Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo linamshugulisha ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku. Kupitia shuguli hizo baadhi yetu hupata...
Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
Nilikutana na mhandisi kutoka Iran, amepata scholarship ya kusoma shahada ya uzamili Ulaya. Katka maongezi yetu nilimuuliza ni kwanini madaktari na wahandisi wengi wanatoka Iran, Syria Egypt nk?
Alinijibu kuwa katika jamii yao wamejengwa kufikia hapo. Yaani ukiwa na familia tangu watoto...
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA.
Mwandishi wetu, Dar es salaam
Leo 29 Julai, 2021.
Shirika la Posta Tanzania likiongozwa na Kaimu Postamasta Mkuu Ndugu Macrice Daniel Mbodo limefanya Mkutano na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania lengo ni kuwaeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.