Mwema(Tarime) is a ward in Tarime District, Mara Region of northern Tanzania, East Africa. According to 2012 Census, the population of the ward was 10,204.
USIKU MWEMA NDUGU AUGUSTINO LYATONGA MREMA.
Leo 13:15hrs 21/08/2022
Usiku mwingine tena,mwamba umelala,daima tutaikumbuka mikutano yako na wananchi, mabomu ya machozi yaliyokuwa yakipigwa, khanga zilizokuwa zikitandikwa na akina mama ili utembee juu yake wakati ukipita mitaani na mambo...
Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.
Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya.
Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba...
Habari ya asubuhi,
Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya
1. Wanaofanya Jogging
Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
Naitaji mke wa kuishi naye umri wangu miaka 37
Sifa
Awe mcha Mungu
Mwenye chura japo kidogo
Umri wake 30 mpak 34
Asinipende mimi sana ila aipende sana ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa ghalama yoyote
Aliye tayari njoo nbox
Miaka kadhaa nyuma nilihudhuria msiba wa aliyekuwa jirani yangu kabla, kwa bahati mbaya au nzuri walihamia nje ya mji.
Kwa wakati huo kulikuwa bado ni shambani hivyo hata miundo mbinu ya barabara haikuwa rafiki ,Bajaji na Bodaboda hazikuwepo bado, ilikuwa mwanzoni wa 2000.
Usiku saa mbili...
MSHINDANI WAKO ANAPOJIGEUZA MSHAURI MWEMA. LOLIONDO FACTS CHECK
SIKU Ukiona Mshindani wako katika jambo mnalishindania anakusauri juu ya kufanikiwa kwako kwenye jambo hilo JITAFAKARI SANA
Ushauri wake kweli utakuwezesha kumshinda na kulifukia lengo lako?.
Namaanisha HIVII, Siku Yanga...
Inasemekana nyumba ya jirani ilikuwa inaungua, na huyu jamaa nyumbani kwao kuna kisima cha maji so akajitolea pamoja na wasamaria wengine kuchota maji na kuzima moto huo, huku wakipiga simu taasisi ya zima moto kwa ajili ya msaada zaidi.
Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto...
Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama...
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.
Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
Nawatakieni usiku mwema
1: mnaoanzishaga thread nzuri zinazochukua mda wangu kukuza maarifa binafsi
2: aliyeanzisha grupu la kujifunza kupika iliniokoa siku moja geto na kuonekana mwamba wa mapishi
3: Rick boy Sina la kuongezea wewe ota tu umepewa uteuzi wizara ya mapenzi
Na wengine wooote...
hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what.
Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira.
Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo:
1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained.
2. Kuwe na sebule
3. Public toilet ndani
4...
Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana.
Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa...
Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi.
Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.