USIKU MWEMA NDUGU AUGUSTINO LYATONGA MREMA.
Leo 13:15hrs 21/08/2022
Usiku mwingine tena,mwamba umelala,daima tutaikumbuka mikutano yako na wananchi, mabomu ya machozi yaliyokuwa yakipigwa, khanga zilizokuwa zikitandikwa na akina mama ili utembee juu yake wakati ukipita mitaani na mambo...