mwembechai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

    Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje? Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwembechai killing Vs In The Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist

    Mwembechai killing kilipigwa marufuku kuingia nchini wakati wa Rais Mkapa. Kitabu kilochoandikwa na Professor Njozi, aliekuwa mhadhiri muandamizi Udsm. Kitabu chenyewe ni ..... Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania" This work investigates the 1998 Mwembechai killings in Dar...
Back
Top Bottom