Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni.
naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs.
It's very painful.
NB: mimi sio mwa CCM.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni.
Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini.
Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani...
Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni litafika saa tisa mchana ila cha ajabu treni linafika saa Tatu usiku.
Kwa ufupi wananchi wa huku...
Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu.
Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa.
Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
Habari:
Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo
NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022..
https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!
Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana...
Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya.
Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT).
CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
"....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu."
"....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa
Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu.
Tumezoea kuishi kwa hofu.
Mkuu wa chama ndiye amiri
Amiri anaapa kwa kutii...
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN JUU YA MWENENDO, KIBURI, DHARAU NA MAJIVUNO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DR MWIGULU LAMECK NCHEMBA
Na Byemelwa Adonis (akatanyukwi're kebangira)
Ndugu Mheshimiwa Raisi nachukua nafasi hii kukupongeza Kwa kazi...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa huku bei ya bidhaa hizo ikipungua ikilinganishwa na mwezi Machi.
Italeta ahueni ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
Wakuu leo nimejikuta natamani nami kutoa maoni yangu kwa jukwaa hili
Mie si mwandishi mzuri lakini nadhani moderator watanivumilia nifikishe hiki nilichokishuhudia.
Nikiri kuwa Mheshmiwa Rais Samia Suluhu Hasani ni mfano wa kuigwa wa demokrasia za kusini mwa jangwa la Sahara...
Simple sana.
Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM.
Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM.
Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM.
Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
Mwenendo wa deni la Zanzibar
2017/18 - Bilioni 472.5
2018/19 - Bilioni 806.8
2019/20- Bilioni 824.5
2020/21 - Bilioni 887
2021/22 - Trilioni 1.2 https://t.co/YuSI0usKt4
Hawa watu sisi ndio twawadhamini ila wanatuletea kiburi na jeuri. Na hapo bado sisi twawapa zaidi ya Asilimia 4 kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.