Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano.
Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana.
Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke Magufuli, maana...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Tuwaha Muze (44) baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ambayo ni kughushi makubaliano ya uongo na kuwasilisha nyaraka za uongo za mwenendo wa kesi ya ndoa.
Pia, mahakama hiyo imemhukumu Samson Tuwaha, kifungo...
Maana halisi ya elimu
Elimu ni tendo la uzoefu wenye athari ya kujenga akili tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi,vile vile tunaweza kusema elimu ni mafunzo tunayopata kutoka kwa watu wengine ili kukuza maarifa yetu juu ya ulimwengu unaotuzunguka vile vile elimu hukuza fikra zetu maadili...
Nawasalimu kwa jina la JMT..Kasi iendelee..
Ukweli usemwe tuu,kiufupi ni kwamba hadi sasa Rais Samia amefanikiwa kukata ngebe,Vilimi na wasiwasi wa wapinzani wake hasa Sukuma gang na Chadomo ambao waliamini angeshindwa kuongoza Nchi au labda kungekuwa na ombwe la kiungozi.
Baada ya Uongozi...
MWENENDO WA BEI ZA MBOLEA NCHINI
Mheshimiwa Spika, kwa kuwa hapo awali sababu za kupanda kwa bei ya mbolea ukiacha sababu za vita ya Urusi na Ukraine na janga la UVIKO – 19, hazikuweza kuelezwa kikamilifu. Kwa kuwa wewe ndiye Waziri wa Fedha mwenye dhamana ya kusimamia sera za fedha na bajeti...
Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea.
Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana.
Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu...
Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.
Kuna haya mambo...
1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu.
2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa.
3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani.
Peter Kibatala na timu yake wapo tayari.
=======
Kufahamu ilipoishia...
basi
chadema
court
freeman mbowe
hii
kesi
kesi ya mbowe
kesi ya ugaidi
kinyume
kuhudhuria
kurekodi
kusikiliza
kwani
mahakama
mahakama kuu
mawakili
mbowe
mwenendo
mwenzetu
sheria
simu
tuache
utendaji
wenzake
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali.
Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo...
Ndugu wanajf,
Sisi wakulima tujulishane mwenendo wa bei ya mahindi kila kona ya nchi, ili kujua wapi soko zuri lipo.
Arusha na Mwanza bei ikoje kwa gunia la kg 100?
tf
Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa.
Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo yanafanya kuibuka.
Makundi haya yanaweza kuwa ya chanya au hasi.
Sababu ya kuibuka makundi:
Ukosefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.